Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

Huu sasa ni Unafiki jamanii, [emoji23][emoji23][emoji23]

Coca, mimi nimefanya unafiki gani?
Huo ndio uhalisia, shida nikisema uhalisia mnaona kama unafiki. 😁

Hata hivyo, karibu kwenye mjadala. 😊
 
Mwonekano wa mtu yoyote unabadilika kila kunapo pambazuka.
Lakini pia tabia hibadilika, mwenye tabia njema leo kesho inaweza kuwa kinyume chake kulingana mazingira.

Inagawa mwanekano wa nje ndio unaovuta mtu kukusogelea ila atakavyo gundua undani wako ndio atazidi kukaa mbali nawe na kujitenga nawe.
 
Huyo ukivua chupi tako linafika magotinibukimvua sindiria ziwa lipo takoni yaani akili za mangui ya ccm jus ilo ni taila
4176df82-a081-454f-b586-3ab40f8504f7.jpeg
 
Ishu ya mtoto, usiache kuweka ukaribu na mtoto, mtoto ukimhudumia na kumpenda atajua kuwa wewe ni baba, hata kama yupo kwa mama yake.
Kuwa nae karibu, hakikisha anapata mahitaji yote muhimu na upendo wako.
Akifika legal age, unamchukua.
nasasa na utamadun wakufuata mtoto naenda nae mwanza tunazurura wew na mahtaj, kisha namrudisha ila mwakan namfata aanze shule
 
Vizuri mkuu, usiache kuwa karibu na mtoto, mtoto ni binadamu atakuwa anajua wewe ni baba yake!
Ukitokomea hatakuwa na picha hiyo, na atakuchukia maisha yake yote.
 
Back
Top Bottom