ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,583
- 48,143
Fanya hata kilimoHapana, ndo nanyatia kuku polepole kwa binti mnzuri ShesRise_1
Fanya hata kilimoHapana, ndo nanyatia kuku polepole kwa binti mnzuri ShesRise_1
Hapo nimekuelewa. Na endelea kunyata maana yeye ana experiensi na anajua mwanaume anataka nini. Kivumbi tafuta binti bikra uipate kali yake.Hapana, ndo nanyatia kuku polepole kwa binti mnzuri ShesRise_1
😊🥂🥂Kwakweli ukimpata uturejee kutuonesha sample ya mke wako utakuwa ni ndoto kwa vijana wengi🤭
Ni matani tusogeze siku ila kama umemind 🙌🏾Unawaza upuuzi kwamba mi nataka ndoa nyokooo😏
Hufake maisha kwenye id fake 😂 ila Nakubali mkuu muda mwengine ukweli muhimu
Uchafu ukiingia kwenye kapu, usitupe kapu, bali toa uchafu alafu utupe.Mimi jana tu nimekesha bar sifai kijana
Nina tabia mbaya
Mkuu nilikutania tu hapo juu kuna member kanimind 😂Hii sio ID fake, Chivundu ni jina langu mkuu. 😁
Mkuu nilikutania tu hapo juu kuna member kanimind 😂
Ni hivi Jf wengi huwa wanafanya vitu ila akiulizwa kuhusu hicho kitu huwa anakataa ili apate credit
Ila me nimekubali jibu lako kuwa umeoa na sio kama wengine tunavyotaka kutumia nafasi kama hizo 🙌🏾
Uchafu ukiingia kwenye kapu, usitupe kapu, bali toa uchafu alafu utupe.
So usijali mambo yatakuwa sawa.
We boya umewasaliti kataa ndoa?lazima ni balance, tabia nzuri ndio msingi mwema, appearance nayo muhimu huko ndoani.
lazima uwe na furaha, amani juu ya kile ukipendacho.
Jidanganye! Hayajaota miaka yote yaje kuota sasa!Kwa kuzingatia neno "tabia mbaya" bora mwenye shepu mbaya tabia nzuri (kama ni makebo yataotaga tu !)
Sio mbaya nzi kufia kwenye kidonda. Hivyo usiwe wasiwasi. Endapo nitakufa kipindi nipo kwenye mapenzi na wewe... Basi kaburini nitaingi nikiwa natabasamu.Utakufa vibaya nakuhurumia
Umepata funzo mkuu😆Mkuu nilikutania tu hapo juu kuna member kanimind 😂
Ni hivi Jf wengi huwa wanafanya vitu ila akiulizwa kuhusu hicho kitu huwa anakataa ili apate credit
Ila me nimekubali jibu lako kuwa umeoa na sio kama wengine tunavyotaka kutumia nafasi kama hizo 🙌🏾
Sijapata funzo lolote 😂Umepata funzo mkuu😆
Usijitetee sana bwana!
Oa mwanamke mwenye muonekano mzuri tabia utamrekebisha.
Ni Sana Sana kurekebisha tabia za mtu ila huwezi kurekebisha muonekano wake especially sura mbaya.
Tumewashuhudia wanaume waliooa wanawake wenye muonekano mbaya kutokana na Hali zao( wanaume) mbaya za kiuchumi.
Ila uchumi wao ulipoimarika wanawake zao wenye muonekano mbaya cha moto walikiona.
Wanaume zao waliishia kuwatelekeza na kwenda kuoa wanawake wenye shape na sura nzuri.
Husikiagi nakujua🤣Sijapata funzo lolote 😂
Uweeeh nyie ndio ninaowataka😆Ni hivi kugombana na mwanamke hata normal siwezi
Aisee we unataka ngumi za live naona nitafute😎Na kugombana kwa kutype napo siwezi kabisa yaani vita kama hizi nazikwepa tu 😂
Sio ukiwa mke 😂 utajutaUweeeh nyie ndio ninaowataka😆
Yaap we angalia watu wanaogombana humu Jf kama baada ya hapo wanaheshimiana ila live lazma mpeane mipaka ya kweli 😂😂😂Aisee we unataka ngumi za live naona nitafute😎
kabisa ! kama tu unavyosemag wewe flat screen akiolewa na kijana mtuliv kama Mbaga Jr mbona vitadevelop !Jidanganye! Hayajaota miaka yote yaje kuota sasa!