mjadala huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Utaoa sura au tabia?

    Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)? Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika? Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya? Zingatia neno TABIA MBAYA! https://www.facebook.com/share/v/14kX7ftmETV/
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Zipi hisia zako unapoona ambulance?

    Unawaza nini? Unakumbuka nini? Je unakuogopesha? Je inakuumiza? Je inakuogopesha? Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments Karibuni kwa mjadala https://www.jamiiforums.com/threads/ambulance-zetu-na-wahudumu-wa-chumba-cha-mahututi.1728818/
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Je ni heri kutoboa ujanani, ukubwani au uzeeni

    Kutoboa kwa maana ya kujipata.. Ni umri upi sahihi? Faida zake ni zipi? Hasara zake ni zipi? Je una mifano hai? Karibuni kwa mjadala huru..!
  4. Benjamini Netanyahu

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Kwa ulimwengu huu wa AI kuna haja ya kuwa na mbunge anayejua kusoma na kuandika pekee?

    Bunge kwenye mataifa ya watu wenye akili timamu ni chombo kikubwa sn sababu ndiyo kinatunga sheria na kulinda maslahi ya nchi, sisi tupo karne ya 21 yaani ulimwengu wa AI(Artificial Intelligence) bado tunataka watunga sheria wanao jua na kusoma pekee, je wataweza kutafsiri mikataba ya kimataifa...
Back
Top Bottom