Hilo halina shida, hata safari za ulaya zitakuwa hazisumbui. Ila UPENDO kwanza.Hehehe na sisi tunasema oesa zako ni furaha yetu! Fanya jambo hapo
Sasa hao hawaangalii miruzi wanaangalia maslahi! Kama unaye means unammudu basi mweke kati😃
Hahahha basi sawaa!Hilo halina shida, hata safari za ulaya zitakuwa hazisumbui. Ila UPENDO kwanza.
Hapa umetisha mkuu, binafsi nachukua mwenye tabia nzuri
Arsenal akichukua uefa+epl naoa 😂Oa kijana acha ubishi 😎
Dahhh lakini bado unachagua kuwa naye tu na unajua ni wa namna gani?🤔Mwanamke akiwa wa maslahi, maana yake ni wa wote! Yaani miruzi anapigiwa mingi na anaitikia. Mwanamke anapaswa awe contented, akiweka maslahi mbele, basi kuna watu wanatumia hiyo kama chambo ya kumnasa. 😁
Demu mpenda maslahi, anapigika kirahisi, sawa na mbwa mroho.
She’s rise ashavuka teenage bwana! Wee mimi mshangazi mjanja tu! Nimekusumbua wapi?Nishavuka huko kitambo😅
Aanh mi ntampiga panga mchana kweupee acha atulie huko aliko tu😂
we jifanye mjuaji sasa hivi tukikufuma na binti wa mtu ni ndoa ya mkeka kwa lazima 😎Arsenal akichukua uefa+epl naoa 😂
Dahhh lakini bado unachagua kuwa naye tu na unajua ni wa namna gani?🤔
Huyo dogo napeleka wapi mimi mwishoe nimjaze laana bure nianze kutia aibu kwa watu😃Acha kumsumbua mshikaji, eleweka atachagua yeye, kati yako na Platinum ShesRise_1. 😁
Arsenal akichukua uefa+epl naoa 😂
Huyu ankuwa amaeshajifunza maisha! Niliona humu wanasema kwamba akipata mtu wa kumkumbusha anarudi kule kule!sijui kama ni kweli au la..Ila kuna fact moja tunaisahau. Wanawake waga wanabadirika, unaweza ukaoa Barmaid akaja kuwa mke mzuri, akakulea, kukutunza, kukuheshimu na akasahau yote ya nyuma. Ila sio wengi wa namna hii.
Wakati mwingine, wanawake kinachowafanya kuwa walivyo ni life tuu ! Ila akipata chaka zuri anabadirika anakuwa mtu mwema sana.
Na viboko juu😁we jifanye mjuaji sasa hivi tukikufuma na binti wa mtu ni ndoa ya mkeka kwa lazima 😎