Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,763
- 86,449
Ila mnajificha kama wahaini sioš¤£Unakuwa nae ila sio ile kirasmi, ushaelewa?
Yani tunasema "Wa kuzugia". š
Ila mnajificha kama wahaini sioš¤£Unakuwa nae ila sio ile kirasmi, ushaelewa?
Yani tunasema "Wa kuzugia". š
Kama sio msumbufu ningesha kupata muda tu. Ila hapa tulipofikia sio mbaya, muda si mrefu ntakuweka ndani.Sheās rise ashavuka teenage bwana! Wee mimi mshangazi mjanja tu! Nimekusumbua wapi?Nishavuka huko kitambo
Hapo ni kuwa sista tu hakuna namna..
Usiwaze ntakucontroAanh mi ntampiga panga mchana kweupee acha atulie huko aliko tu
Vibaya hivoooo acheni kutubagua tusio nahivo vituHapo ni kuwa sista tu hakuna namna..
Huyu ankuwa amaeshajifunza maisha! Niliona humu wanasema kwamba akipata mtu wa kumkumbusha anarudi kule kule!sijui kama ni kweli au la..
Mtasema tabia hapa, deep down shape zinawatoa udeleleš¤£
Ila mnajificha kama wahaini sioš¤£
Ulituma proposal kwa Id nyingine au? Unipate kivipi sasa?š¤Kama sio msumbufu ningesha kupata muda tu. Ila hapa tulipofikia sio mbaya, muda si mrefu ntakuweka ndani.
Huwezi tuliza boli šUsiwaze ntakucontro
sawa mzur utaongozana nae ata kwenda sokon, ila hamfki mbali.Enhee! Leta ushuhuda mkuu.
Vibaya hivoooo acheni kutubagua tusio nahivo vitu
Upo sahihi! Besides mapungufu hayo kuna watu wana tabia nzuri tu in nature! Maisha ndio yanawapelekea kujikuta katika makundi fulani!Fact moja kuhusu wanawake ni kwamba; wanawake wana vitu vinashabihiana, ila wanawake hawapo sawa kwa kutenda, kufikiria na kuamua.
Yupo mwanamke ni mzuri wa tabia na kila kitu, ila anakuwa spoiled katika pitapita yake. Huyu akipata chaka zuri waga anakuwa mwema na anabadirika kabisa.
Kuna watu wameoa ma barmaids, wauzaji na madanga na ndoa zipo poa kabisa.
Kwa iyo ni namna tuu ya mindset ya mwanamke mwenyewe.
Tabia ni kwa ajili ya watoto na masuala mazima ya kifamilia hapo ndo tunapata mke ila shape ni kwa matumizi yangu binafsi kwenye equation anaingia mchepuko.
Yule sio mimi, atakuwa Chivundu anazunguka mbuyu. Ila achana naye baki na me.Ulituma proposal kwa Id nyingine au? Unipate kivipi sasa?
Uwa unatoa reasoning nzuri sana mkuu, hongera sanaš¤š½Tabia ni kwa ajili ya watoto na masuala mazima ya kifamilia hapo ndo tunapata mke ila shape ni kwa matumizi yangu binafsi kwenye equation anaingia mchepuko.