vipi mkuu mshanaDuh🥺🤭
Hujaulizwa "amani" , umeulizwa "sura au tabia"Unataka tusiongozane kama tunaenda guest bhana 😜. Mengine atajijua yeye mwenyewe mie naangalia amani yangu tu. 😅😅😅😅
Vijana wa kiume chagueni TABIA, sura hata MPOTO anayo.Je kipaumbele chako kwenye ndoa ni tabia au sura? (Shape/mwonekano)?
Je kati ya sura na tabia ni kipi kinarekebishika?
Je utaoa mwenye tabia nzuri lakini shepu mbaya au utaoa mwenye sura nzuri lakini tabia mbaya?
Zingatia neno TABIA MBAYA!View attachment 3584537
Nakupa namba ya Giggy money.tabia hubadilika ila sura labda kwa mbinde!
Ujuaji, soma vizuri utaelewa. Vyote ulivyojaribu kuzungumza hapo upo wrong m/umetunga mimi hata sijasema hivyo.Hujaulizwa "amani" , umeulizwa "sura au tabia"
"mke" apelekwi gesti, anaishi nawe nyumbani kwa heshma.!
Gest ni wa wageni na wasafiri,