TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

Huyu mwamba japo alikuwa anaact kucheka usoni ila alikuwa anaonekana ana.sonona sana hasa kumpoteza yule mwanamke na mama yake pia

Za chini chini inasemekana yule mke wake baada ya kuachana now anamimba kubwa na ya mtu mwingine so huwez jua kapata mshtuko ogopa mpenzi
 
Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025.

Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikwa na mauti.

Global TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya General, Dodoma, Ernest Ibenzi ambaye amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.


View attachment 3502851

Source: Global TV Online
Dah,kifo bana,juzi tu kahojiwa
 
Back
Top Bottom