Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,175
- 45,897
Hatuwaoni
NashangaaHatuwaoni
Basi mna dhambi!Hatuwaoni
Alichelewa kuweka pichaBasi mna dhambi!
Mbona mimi nawaona?
..hivi wakandarasi wanapata muda wa kufanya kazi zao?
..naona kama ziara huko site zimekuwa nyingi kupita kiasi.
..na kwanini mradi hujakamilika kwa kipande cha Dar to Moro?
..tazara ambayo inatoka Dar mpaka Kapirimposhi Zambia ilijengwa kwa miaka 5.
..najaribu kulinganisha na kipande cha sgr Dar to Moro.
Kikwete anapenda kujisifia sana sasa anasema yeye alifanya kila kitu ikabaki utekelezaji, treni nayo alisema hivyo
Tahadhari:
Hiyo Stiglers Gorge ni kitendawili, yaweza malizika kujengwa nje ya muda na kusababisha cost overrun hata ya Mara 3 ya original bid. Then kukamilika ni kitu kimoja na kupata Megawati 2100 ni kitu kingine. Kumbuka umeme wa kutegemea maji hutegemea vilevile kudra za Mwenyezi Mungu.
Wacha kushona mbeleko kabla mtoto hajazaliwa. Ni mapema mno kusherehekea umeme wa Stiglers Gorge. Changamoto zilizoikumba miradi ya ya Mtera na Kihansi hamna namna Rufiji itazikwepa
Kikwete amwaga sifa.
Youtube link (wa free basic haiwahusu).
Waambie huko warundi wenzako hivi, msituingilie wapumbavu nyinyi, Bwawa hilo linawahusu nini nyinyi wahutu??Hili bwawa ni uchafu na wizi wa Shetani Magufuli Halitakua na tija yoyote tayari hapo lilipo ni white elephant.
CCM tunatumia nguvu nyiiingi kulibrand ila kiukweli ni uchafu wa kimataifa. Hapo ni kupaka rangi jeneza tuuu.