Wenye nyumba tupo, nilijua hii itakuwa moja ya game ngumu sana.Lakini nafikiri tumefungwa wakati muafaka hii itatusaidia kuamka maana tulianza kusahau kufungwa
 
Wenye nyumba tupo, nilijua hii itakuwa moja ya game ngumu sana.Lakini nafikiri tumefungwa wakati muafaka hii itatusaidia kuamka maana tulianza kusahau kufungwa

....duuuh mazee una moyo mgumuuu!!!.......poleni sana wazee
 
Manda uko wapi leo utupe udadavuzi wa mechi ilivyokuwa..............na wapi SAF arekebishe........jamaa naona wamelipiza kisasi

Matokeo kama haya ndio yanamkimbiza kabisaa Mkuu Icadon................
 
Manda uko wapi leo utupe udadavuzi wa mechi ilivyokuwa..............na wapi SAF arekebishe........jamaa naona wamelipiza kisasi

Matokeo kama haya ndio yanamkimbiza kabisaa Mkuu Icadon................
Hakuna siku zote anayependa matokea mabaya ila kwa vile yanakuja inabidi tu yapokelewe kama yalivyo.Poleni wakuu mbio za ubigwa bado sana..Naona mlisahau kutia maji wakati vijana wangu walipokuwa wananyolewa.
 
man bado amebakiwa na mechi ngumu, chelsea amebakiwa na mechi ngumu pia, hivyo ubingwa lazima uende emirates - watch this space!
 
man bado amebakiwa na mechi ngumu, chelsea amebakiwa na mechi ngumu pia, hivyo ubingwa lazima uende emirates - watch this space!
Acha kujidanganya na wewe game hizo ngumu ndo za kushinda na hizo unazoziona rahisi ndo watu huwa wanaacha manyoya.
 
EVERTONNEW_990951a.jpg

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeee Manda, Belo, Belinda Jack & boys wapo?
 
Acha kujidanganya na wewe game hizo ngumu ndo za kushinda na hizo unazoziona rahisi ndo watu huwa wanaacha manyoya.

Mwaka huu ni tofauti kwa Arsenal. Kila mwaka huwa inawafunga vigogo ila inafungwa na vibonde. Mwaka huu vibonde wote kasoro 1 wamefungwa na watafungwa. Hivyo ubingwa lazima utue Emirates kwa sababu ya hayo mabadiliko.
 
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.

Opening ya man U thread kali ile mbaya!Trouble it failed to stand test of time,kuzibua no more,mnazibuliwa,kanyaga twende ,mnakajanyagwa.
 
Haya wagosi nasikia mmeingia msikitini na viatu?
teh teh wanasema pole ingekuwa dawa basi Muhimbili isingejengwa....ila mi kwa uungwana nawapa POLE
 
Poleni sana Man Utd...Niliwaambia ligi ya mwaka huu ni ngumu haijawahi tokea...Kuna timu za kuangalia sana unapokutana nazo Everton,Aston Villa,Tottenham na Man City,hawa jamaa hawatabiriki hata kidogo unapokutana nao...Asanteni kwa kutupa nafasi ya kuendelea kuunyemelea ubingwa:D:D:D

Hi hi hi hi hiiiiiip.... Kumbe Fulham haipo kwenye kikosi cha nyuki! ho ho ho hoooooop
 
Back
Top Bottom