Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

That Pressure unayoongelea will NEVER happen to Man Utd, more especially kwa wanazi sie, rejea post zetu hususani katika kipindi kile cha mpito, kipindi, Fletcher na Carrick wanapipga beki za kati, What was our stance?, sisi ndio Manchester UNITED, embu soma signature ya Belo muone nini naamanisha.

It is not over till its ova.

......calm down man calm down please..........tunasema.....bado mechi zifuatazo, Man U vs Chelsea vsMan City vs Everton vs Liverpool .....hizi ni mechi ngumu kwenu.....hutaki kukubali hata fact hiyo?
 
Chelsea ,Man City hawatishi sana tukishinda hizi game tayari mabingwa.Arsenal hata hawanisumbui naamini nafasi yao ya 3 au 4
 
Huyu dogo itachukua miaka kumsahau wenyeji wa imarate, ni kama Gigys 1999FA


_47282629_giggs466.jpg



Unaongelea huyu jamaa aliyeteguka mkono?
 
Hehehe naona washabiki wa Arsenal wamepata pumzi za kuvamia majukwaa ya wenzao...alafu mnaongea as if tumefungwa, hao Villa wenyewe mlitoa (Arsenal) nao draw vile vile.
 
Hehehe naona washabiki wa Arsenal wamepata pumzi za kuvamia majukwaa ya wenzao...alafu mnaongea as if tumefungwa, hao Villa wenyewe mlitoa (Arsenal) nao draw vile vile.

Mkuu labda kumbukumbu zako haziko sawa unakumbuka nini kuhusu Villa pale Old Traford?
 
Wana Man U tuendelee kupeana habari, si tu PL bali hata CL. Kote hatushikiki na leo tunafuta uteja wetu wa AC Milan. Nitakuwa kwenye creen yangu kuanzia saa nne S3.
Leo tunapiga 2 - 0
 
_47307119_beckham_fergie466.jpg


Hakuna kurushiana viatu leo hatutaki ngeu ... khe khe khe khe kheeeeee
 
Msg sent vijana, Kama kawa tunaendeleza libeneke,,, Congs Mashetani wenzangu!
 
Mashetani hongereni sana, wengine forum siku hizi hatuingii kwa sana kwa sababu ya majukumu lakini ndio hivyo nitakuwa nakuja kila baada ya mechi zetu.
 
Simpo "Tumeshinda"..Kudoz Manure fans @JF!!

Hongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani 🙂 kwa ushindi mdogo 😉 Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika 🙂 Dua la kuku!...... hahahahahahahaha
 
Hongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani 🙂 kwa ushindi mdogo 😉 Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika 🙂 Dua la kuku!...... hahahahahahahaha

Hapo vipi Mkuu....next game itakuwa ndani ya OT

...aisee Rooney anatisha aisee........
 
ilishasemwa, tofauti ya AC milan na Man united ni Rooney, watamkumbuka kwenye historia yao AC!
nahisi itakuwa hivi kule AC academy mtihani wa kuingia timu ya "wakubwa" ....
Swali: ni lini na ni wapi rooney alipof$%#r watu?
Jibu: san siro, feb 16, 2010!
 
Back
Top Bottom