HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Baada ya ile mistake ya Raya, jamaa aligeuka na kuwa mnoma yaani mbogo ile mbaya. Hakuna mipira ilikuwa inakatiza juu kwenye box bila katumbili Raya kuinyakua. Ilikuwa kama ameamua kuonyesha ulimwengu yeye ni nani kabla hawajaanza kumchukulia poa kwa kale kakosa kadogo. Nilifurahi kuona alivyobadilika baada ya dakika tu.Ata walipopata 2 spurs, nilikua Sina wasiwasi na low block itakayowekwa pale nyuma
Nyumbu tupige 4, ili kuweka gap la magoli vizuri
City tutamkamatia mbele kidogo, [emoji117] Fulham, spurs