Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 186
........kitabu cha rambirambi nadhani bado hakijafungwa....poleni sana naon jamaa wamewatafuna jicho......!
I knew BAK utakuja kushangilia..ha ha ha!!Ndo hivyo ila kimeniuma kweli hicho kipigo..agrrrr!!
Nasubiri mechi yenu:-D
Manda uko wapi leo utupe udadavuzi wa mechi ilivyokuwa..............na wapi SAF arekebishe........jamaa naona wamelipiza kisasi
Matokeo kama haya ndio yanamkimbiza kabisaa Mkuu Icadon................
Nipo bruh!, ni vile JF, ilipotea hewan, sikuweza kui-access kwa PC yangu tangu jana mchana, na the whole mchana. Kama mfuatiliaji wa ukweli waweza kuwa ushajua kuwa Man Utd fans hususani wa umu JF wana spirit ya ajabu, huwa hatutetereki, sahau Kukimbia. Shetani wa ukweli hawa-disappt. na game moja/mbili bruh!, sisi sio nyie..Lol!Hawarudi tena hapa jukwaani hadi J2 ijayo wakiweza kuwathibiti Aston Villa sivyo ni marehemu tu hawa.
Manda uko wapi leo utupe udadavuzi wa mechi ilivyokuwa..............na wapi SAF arekebishe........jamaa naona wamelipiza kisasi
Matokeo kama haya ndio yanamkimbiza kabisaa Mkuu Icadon................
Hawarudi tena hapa jukwaani hadi J2 ijayo wakiweza kuwathibiti Aston Villa sivyo ni marehemu tu hawa.
Hiyo 'thanks' inahusisha last sentence ONLY.....!!Angalao jana Simba walinifanya wikiend isiwe mbaya kushinda zote.
BTW: Chelsick, don count us out.....after all we are still UNITED!
Huyu Rooney sasa ni moto wa kuotea mbali. Yeye na Jermaine Defoe wakitulia kwenye World Cup na kama wakiweza kucheza pamoja basi safu ya mashambulizi ya UK itakuwa ni tishio kubwa na wanaweza kufika mbali sana kwenye mashindano hayo.