Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani 🙂 kwa ushindi mdogo 😉 Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika 🙂 Dua la kuku!...... hahahahahahahaha
Wakipata kamoja still tunasonga robo fainali
 
Jamaa walianza kwa kasi sana, game kama hizi zinamfaa sana Park.Fletcher,Rafael,Park,Rooney walikuwa kwenye form ila bado tuna tatizo kwenye defence Rio bado hajawa fit but tayari tumeshawangoa
 
Of course kwenye defence ndio kulikomchefua sana sir Ferguson, kama ulimcheki vema kipindi cha kwanza alikuwa akisimama na kulalamika sana. Mipira ilikuwa inavuja sana unapde wa wale madogo.
Kilichonishangaza sana jana ni namba aliyokuwa anachezea Evra kipindi cha pili, sijapata kumuona akisakata mpira kutokea wingi ya kulia, najua kwamba yeye ni beki wa kushoto.
Kweli simba akizidiwa hula majani.
 
Next game big man (Vidic) atakuwepo....na ukizingatia all Man have to do is to limit goals in their net to 1, of course if Runi won't score.
 
Hongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani 🙂 kwa ushindi mdogo 😉 Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika 🙂 Dua la kuku!...... hahahahahahahaha

Ooh BAK!..Game ya jana Man walikuwa away, so marudiano ni ndani ya OT!..
Wewe chekelea tu, subiri usiku wa leo na nyie mtafanyaje!!..I can't wait, ha ha)):- All the best, tabiri basi matokeo yenu!!..
 
Of course kwenye defence ndio kulikomchefua sana sir Ferguson, kama ulimcheki vema kipindi cha kwanza alikuwa akisimama na kulalamika sana. Mipira ilikuwa inavuja sana unapde wa wale madogo.
Kilichonishangaza sana jana ni namba aliyokuwa anachezea Evra kipindi cha pili, sijapata kumuona akisakata mpira kutokea wingi ya kulia, najua kwamba yeye ni beki wa kushoto.
Kweli simba akizidiwa hula majani.

makosa yalikuwa yanasababishwa na midfield, scholes na carrick walikuwa wanapoteza sana mipira kipindi cha kwanza, yule dogo evans bado hajakomaa anajitahidi na raphael alipata shida dakika za mwanzo baada ya kuzoea ron alikuwa anajiangusha tu kila saa
kama si rio jana tungeumia, rio alikuwa solid sijui nyinyi mlikuwa mnaangalia mpira gani
 
Hongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani 🙂 kwa ushindi mdogo 😉 Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika 🙂 Dua la kuku!...... hahahahahahahaha

Duh mkuu ina maana mechi ya marudiano itachezwa Italy tena?
 
Hapo vipi Mkuu....next game itakuwa ndani ya OT

...aisee Rooney anatisha aisee........

Ahsante sana Mkuu!...Nirirewa (isomeke nililewa 🙂) mimi nilidhani ile mechi ya jana ilikuwa Old Trafford kumbe MANU walikuwa ugenini. MANU mna nafasi nzuri sana ya kusonga mbele maana mnahitaji draw tu.
 
Katika kupita kupita kwangu kw ambali nikaona jirani zangu hapa kuna maturubai.nikaona sio vizuri kuja kujuwa kuna nini? poleni kwa msiba ndugu zangu ndio kazi ya Mpira na Mungu.
 
Hahahahahahaha Hehehehehehehe Hihihihihihhihih Hohohoohohohohoho Huhuhuhuhuhuhuhu Poleni sana wana MANU, BJ and company hii 🙂
 
Lol, kweli tumeipata leo toka kwa Everton..Thanks AW
 
Hahahahahahaha Hehehehehehehe Hihihihihihhihih Hohohoohohohohoho Huhuhuhuhuhuhuhu Poleni sana wana MANU, BJ and company hii 🙂

I knew BAK utakuja kushangilia..ha ha ha!!Ndo hivyo ila kimeniuma kweli hicho kipigo..agrrrr!!
Nasubiri mechi yenu:-D
 
Poleni sana Man Utd...Niliwaambia ligi ya mwaka huu ni ngumu haijawahi tokea...Kuna timu za kuangalia sana unapokutana nazo Everton,Aston Villa,Tottenham na Man City,hawa jamaa hawatabiriki hata kidogo unapokutana nao...Asanteni kwa kutupa nafasi ya kuendelea kuunyemelea ubingwa😀😀😀
 
Back
Top Bottom