O
Joined
Likes
90

Profile posts Latest activity Postings About

 • O
  Haika,

  Hapa mwana JF yeyote anaweza ku-access i.e. JF tunamkoma Nyani Giladi, kama wewe unamjua vyema zaidi weka record straight............Wewe sahihisha tu in public hakuna haja ya kuja huku......
  H
  samahani nikusahihishe in private Mkapa si Mkatoliki, unafanya udhalaulike na wanaojua ukweli mambo unayoongea ya kufirika, fanya utafiti kidoooogo.
  O
  Wandugu wote Nawatakia Sikukuu njema na Mwaka Mpya 2010 mwema.......yale tuliyoshindwa kutekeleza 2009, yaliyotufika yasituvunje Moyo....iwe ni changamoto kwetu kwa mafanikio kw amwaka mpya na malengo mapya.......

  Rafiki yenu Ogah
  O
  Nashukuru sana Ndg yangu, nami nakutakia mwaka mpya 2009 mwema ili malengo yako yatimie....Insha-allah
  Steve Dii
  Nakutakia Sikukuu Njema Mkuu..

  Uwe wa amani tele.

  SteveD.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…