• football-fa-community-shield-2013-wembley-stadium-manchester-united-wigan-athletic_2985640.jpg
  • football-fa-community-shield-2013-wembley-stadium-manchester-united-wigan-athletic_2985642.jpg
 
Ooops hata Henry oops huyu ndio mwenye usukani wa koser fools alichema ... .''what do they smoke at the Emirates'' Chacha ndo nchemaji wa loser fools. kwa hiyo usijali nikivuta nyota .... .. yote msingizieni Prof.


BTW Chelsick na chacha Man Chitty wanawachubiri mjiunge nao kwenye kuwania timu bora kuwa na mameneja wengi, hadi chacha Chelsick wanaongoza kwa kubadili mara 10, Moya ntafukuza baada ya kufungwa mechi ngapi?

Tulia na hii:

"David Moyes has been Man Utd manager for 40 days and has already won a trophy. Wenger hasn't won a trophy for Arsenal for over 3000 days".
 
Duh Belinda kikombe chenyewe ni cha mbuzi na vibonde Wigan walishashuka daraja.

Mkuu,
Sisi ndio bingwa mtetezi wa EPL,na leo tumechukua ngao ya hisani,tueleze nyie mara ya Mwisho walau kombe la mbuzi mlichukua lini
 
Mkuu,
Sisi ndio bingwa mtetezi wa EPL,na leo tumechukua ngao ya hisani,tueleze nyie mara ya Mwisho walau kombe la mbuzi mlichukua lini
maswahiba zangu Belo, Nzi pamoja na BJ nakusalimieni tu ligi inaanza banter za hapa na pale kama kawaida....aaah Belo haijalishi historia na tuangalie itakapofika May tukijaaliwa......!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1376253731.670802.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376253731.670802.jpg
    37.3 KB · Views: 92
  • ImageUploadedByJamiiForums1376253741.607902.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376253741.607902.jpg
    80.7 KB · Views: 100
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254120.658942.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254120.658942.jpg
    78 KB · Views: 90
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254131.499723.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254131.499723.jpg
    141.5 KB · Views: 89
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254146.251535.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254146.251535.jpg
    49.5 KB · Views: 81
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254166.685409.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254166.685409.jpg
    120.3 KB · Views: 81
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254176.219643.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254176.219643.jpg
    69.8 KB · Views: 80
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254187.272542.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254187.272542.jpg
    49.7 KB · Views: 80
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254198.200224.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254198.200224.jpg
    36.7 KB · Views: 73
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254210.050745.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254210.050745.jpg
    62.4 KB · Views: 76
  • ImageUploadedByJamiiForums1376254221.113680.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1376254221.113680.jpg
    39.7 KB · Views: 75
Last edited by a moderator:
Huu mwaka wa 15 sasa, people writing Manchester United off ata kabla kipenga hakijapulizwa.
 
Back
Top Bottom