whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,192
- 2,550
kumbuka kuna kocha Alimletea zengwe, mwana akasepa zakeJodan Sancho 🔥
eti mwana hajui boli, cheka anavyokiwasha huko BvB
kumbuka kuna kocha Alimletea zengwe, mwana akasepa zakeJodan Sancho 🔥
ila hili lijamaa huwaga halina utani hata kidogoUnafumgwa na ukizingua unapigwa vilevileView attachment 2978536
M
Mshiko mbele kwanza halafu mpira ufuate.
Unasema kwetu ni mpira kwanza, halafu mshiko upo tu, siyo?
Utakuwa sahihi.

Mazoezi ya kitotoMan utd tuna laana, ndio nimeamua kukaa kimya kwa sasa, siandiki tena magazeti, siumizi kichwa juu ya kocha ajaye, siumizi kichwa juu ya mipango ya INEOS.
Yote nayaona ni rubbish na hizi tetesi za usajili ndio zinazidi kunivunja moyo haijalishi ni uongo mwingi.
Fragile Ego
============
View attachment 2980658
Ipswich wanarudi ligi kuu baada ya miaka 22, jamaa amewatoa daraja la kwanza chini mpaka daraja la kwanza kuu kwa mwaka mmoja.
Then kwa mwaka mmoja anawarudisha ligi kuu kwa bajeti ya paundi millioni 6.
Wachezaji wetu walisema Mckenna ana mazoezi ya kitoto
Kumamakeee!!!!
kenge wamepambana hadi wamewakaribia wawapite
kumbuka ni point 1 tu inawatenganisha.sitoshaanga kenge wakacheza europa
manyuu mkabaki kutupigia kelele za fainali ya fa
Hamna namna yeyote UTD inaweza Piga hatua na % kubwa ya Lile Kundi la Wachezaji.Wachezaji wetu walisema Mckenna ana mazoezi ya kitoto
No Bruno Fernandez