Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Naona katika match 3 za pre-season Moyes kashalambishwa sakafu mara mbilli, leo kuna kitimu huko Japan kimewachapa goal 3 -2,
bila ya kusahau kua vijamaa vimefunga magoal 4 ktk hiyo game, team ya Moyes imefunga goal moja tu na jingine walisaidiwa na wajapan wenyewe.
Mchezaji nyota/ man of the match alitokea Yokohama, bwana Andrew KUMAGAI!