Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Safi kabisa Viper. Umefufukia wapi au ulikuwa umefichwa?ha ha ha...angalau EPL inaanza🙂)

Hahaha sijafichwa kivile jirani.. . Si unajua wengine ni ma vampire wa soccer wake me up when july ends...

Bwana mdogo michu leo naona kama atatuma salamu
 
Last edited by a moderator:
Hahaha sijafichwa kivile jirani.. . Si unajua wengine ni ma vampire wa soccer wake me up when july ends...

Bwana mdogo michu leo naona kama atatuma salamu

Kabla ya Michu salamu za Benteke zitauwa zimeshawafikia
 
Nachikia mashoga wamekula mkong'oto leo wote wameunyuti khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna cha Inzi wala Belo ... .... ... Ngongo yeye keshatokomea madongo kwinama. ..... .... Fungie alisafisha ooops alichukua Brown envelopes zote chacha majuto Njukuuu! Ati Mfarisayo anajifanya anaangalia Golf phew! Since when?

Jamaa akifurahia baada ya kumuinamisha mtu

  • PA17345000_2988712.jpg

kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mambo ya chuma mboga hayo
 
Huyu Valencia tangu arudishiwe namba 25 na kiwango kimerudi
 
Back
Top Bottom