Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,096
- 13,758
Timu la mchongo hili,Nyumbu Ni nyumbu tu
Sasa hivi limekua ni timu la hisani,
Kwa hisani ya watu wa Brighton timu letu limefuzu kucheza Europa kwa kuweka historia ya dunia,
timu yenye GD 0 inaenda kucheza Europa pamoja na AsaniWali wenye GD 13.