Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 439
- 664
Kwa Nini?EPL NI DHAIFU
Kwa Nini?EPL NI DHAIFU
Muache tu mkuu, atajivunia nn sasa kwa msimu huu, hamna kitu.Nothing to boast of, being 6th with zero goal difference is the shame
Nyinyi AsaniWali hio clean shit imewasaidia nini hali ya kua wote tunaishia kucheza Europa?Nothing to boast of, being 6th with zero goal difference is the shame
AsaniWali [emoji1787]Nyinyi AsaniWali hio clean shit imewasaidia nini hali ya kua wote tunaishia kucheza Europa?
Ndio mlichobakia mnajivuna History tu li timu lina maliza ligi na Goal different ya 0 kwenye mechi 38 Ni timu ni Takataka hiyo.Liverp*mbu walijua kubeba hii kitu ni simple hee.View attachment 2234660
Kosi la dunia linaombewa hadi kwa Mungu kweli hili kosi lishakuwa kosi la matakataka, Yani kosi la mtaa..Leo tukichomoka hapa Mungu atakuwa kaingilia kati.View attachment 2234531
Hizi mbuzi zina nickname nyingi sana unajichagulia tu mwenyewe unayojisikia kuwaita.AsaniWali [emoji1787]
Timu la mchongo hili,Nyumbu Ni nyumbu tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi mbuzi zina nickname nyingi sana unajichagulia tu mwenyewe unayojisikia kuwaita.
AsaniAli, AsaniWali, AsaniMbuzi, AsaniBata na siku wakikukera sana unawaita AssAnal.
Woow!!!Tumefungwa magoli 57 na tumefunga magoli 57. Tumemaliza msimu tukiwa hatuna goal difference.