Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu uliopita yaani nilikua natamani hata Arsenal twende conference league yaani ile idea ya kwamba tumemess up kila kitu nikaona ni mzigo.
 
Ten Hag Naona Anatikisa Kichwa Tu Kule Jukwaani Nadhani Ni Kutokana Na Boko La Bruno Na Performance Ya Alex Telles [emoji4]
 
It is what it is.
20220522_201844.jpg
 
Daah kweli dunia hakuna usawa, leo hii mashabiki wa Mwantesa wanashangulia Westham kufungwa 😁😁 kweli mko hoi, sasa huko Europe Sijui mnaenda kufanya nn
 
Nyie ng'ombe mmenichania mkeka, c mngefungwa tuu hizo 3 nngeishi vizuri leo.
 
Mimi kama jirani yenu nawaonea huruma sana, mna shida kubwa sana nyumbu.
Nyie sio wa kwenda Europa League kwa mbeleko, yaani West afungwe nyie ndio muende.

Mimi nisingeshangilia hata kidogo.
 
Back
Top Bottom