Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
3.Kocha aliyekuwa anaisema vibaya Manchester United ni Lous Van Gal pia makocha wengine walikuwa wanaogopa muundo wa uongozi wa Manchester United ambao ulikuwa unawaza kukuza UCHUMI tu soka kwao sio kipaumbeleWakuu nisaidieni kunielewesha kimpira kidogo.
Kuhusu huyu kocha mpya wa manutd....
1. Manchester haijachukua muda Toka baada ya kumfukuza ten hag ,kumcheki jamaa na jamaa kuelewa ....
2. Huyu jamaa amekubali chap japo hatumfaham Sana na Hana jina kiivyo tofauti na wengi tulivyotarajia manutd ingechukua Makocha hao wakubwa labda
3. Amejiamini Nini kukubali Dili la mnutd maana watu saiv pale wanapaogopa ni kama Pana gundu .....lakini jamaa chap tu kakubali na mambo fresh swali ....Anajiamini Nini???[emoji16]
4. Nasikia alikua anawaniwa kama mrithi wa pep mara klopp mara Fc Barcelona pale kabla ya FLICK...., chelsea pia nk ila alikataa .......Swali : vipi mbona manutd walipomfata chap kakubali project ambayo Mimi naamini ni yamoto na ni kama Ina gundu sio poa ???????
Nitashukuru kwa Elimu.
Ndio maana pamoja na Manchester kuwa vibaya uwanjani lkn still ilikuwa ni timu inayoingiza mapato zaidi