Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MANCHESTER CITY Bado ni timu ndogo sana .View attachment 2237181
.
mancity-20220524-0001.jpg
 
jamani hakuna tetesi imara zinazohusika na usajili wa timu yetu? au ndio tuseme kocha mpya anacontrol hadi media uchara
 
Manchester united imecheza michezo 38. Lakini hajafunga hata goli moja. Mmefunga magoli 0
Na pia katika hizo mechi 38 tulizocheza hatujafungwa hata goli moja.
Hapa Man United inaonesha ni timu yenye historia yake maana msimu mzima haijafunga wala kufungwa goli hata moja na imefuzu kucheza Europa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anafikili epl ni huko uholanzi ambapo ajax imeshageuza league yao kuwa shamba la bibi...!
Mbona Pep kaigeuza shamba la bibi, nataka ujue kuwa ligi yoyote inaweza kugeuzwa shamba la bibi ila issue ni stratagies za kocha na mpunga unaomwagwa vizuri kuliko vilabu vingine vya ligi husika.

Ndomaana ukiangalia team zote zilizogeuza ligi fulani mashamba ya bibi zina vitu viwili kwa pamoja (mpunga wa maana + kocha wa maana).
 
Anafikili epl ni huko uholanzi ambapo ajax imeshageuza league yao kuwa shamba la bibi...!
Kabla ya Ten Hag kwenda Ajax walikaa miaka mitano bila ubingwa PSV na Feyenoord walitawala kidogo alijitahidi kuirudisha AFC AJAX ilipotoka

Hivyo mashabiki wengi wa United tunaamini kocha akipewa muda na sapoti ya kutosha team yetu itarudi mahali inapostahili
 
Back
Top Bottom