Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Hakuna kilaza Duniani kama wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Imagine hii timu haifanyi vizuri kwa sasa, ila tayari tickets zote za msimu ujao 2022/2023 zimeisha. Najiuliza ingekuwa kwny ubora kama wa liver/man city ingekuwaje