Ushindi mwembamba leo kisha kipigo jumapili..hiyo ndo curve yetu.

Chief-Mkwawa leta stats..nini kimetokea mbona City wametupita kama upepo vile?
Ukitoa Atletico Madrid City wapo on form msimu huu kuliko timu yoyote. There is no shame ya sisi kuwa nafasi ya pili, so far tupo ndani ya expectation zetu msimu huu, hio nafasi ya kwanza tulikuwa tuna over achieve.
 
Kama kipaji cha kujitetea tu unacho we mdau......
Na Nyie vipaji vya kukosoa Pia mnavyo,

Mwanzo wa msimu niliweka comments kibao za expectation za msimu huu, na expectation za fan yoyote anaelewa ni sisi kuchallenge ubingwa na si kuchukua, ingekuwa ni vyema tungebeba tungekuwa tume over achieve Ila Pia kuchallenge ubingwa na Kupunguza gape la point na wa juu yetu Pia ni achievement kubwa kwetu.

Wakati ule tuna fanya vibaya nikiweka hizi comments wengi wenu mulikuwa mkipinga na kuponda timu haina uwezo, sasa hivi timu ipo nafasi ya pili bado mna tafuta sababu za kuponda vile vile sababu kukosoa nayo ni proffesion vile vile.

Anyway ukitaka nifukue makaburi ya comments za mwanzo Pia nitakuekea.
 
Kuna save david de gea aliifanya mech ya chelsea ilikuwa clear goal naelewa sasa kwa nini Solskjaer hawez kumshusha kuwa kipa namba mbili kipa wetu namba 2 ni mzuri sana ila itabidi asubir tu hakuna namna
 
Ushindi mwembamba leo kisha kipigo jumapili..hiyo ndo curve yetu.

Chief-Mkwawa leta stats..nini kimetokea mbona City wametupita kama upepo vile?

Mkuu city hadi wanawachezaji wa £45 wanakaa bench sijui kama kuna mtu anamkumbuka Ake kutupita kwao ni uwekezaji tu hata liverpool kuanguka kwake ni uwekezaji tu mchezaj mwenye thaman ndogo mule ni foden wengine wote hela.
Mendy hana namba bei yake?
Timu yetu tunaangushwa na uwekezaj na wale wanaotaka kufanya biashara ya kuangalia mchezaj gan atauza jez siamini kama wangeamua kuwekeza nguvu za kwenye mpira wale watu wa hii timu kama tungekuwa miaka 8 bila ubingwa

Chelsea walikuwa wakikaa miaka 3 bila ubingwa mmiliki haelewi anasajili tu hadi madogo wa academy wanakosa nafasi kwetu kunahitajika uvumilivu tu had wakina rashford watakapo kuja kuwa na akili
Wangeacha makocha wafanye choice ya wachezaj wao karibia makocha wa 3 waliofukuzwa wanalaumu usajir hela wanatoa ambapo hapana mahitaji kama DVB
 
Ni heri wafanye hivyo badala ya kuendelea kutegemea Anthony Martial afanye maajabu asiyokuwa nayo.
Chief Mkwawa
Martial anayo maajabu mengi ila ndiyo hivyo yamefichwa na uvivu na small mentality. Nakumbuka kuna siku Jose aliwahi kusema kuwa ana-wish Martial aje kucheza walau nusu tu ya potential aliyonayo.

Martial £250k kwa wiki

Sonny £150k kwa wiki

Hapo lazima kuna mmoja anadekezwa na kukwezwa. Ni vema kuanzia chini kwenda juu kuliko kuanzia juu sana.

Ila namna nzuri kwenu kubalance mizani ni kurudi kwenye ile plan ya Jose kwa Rashford na Martial. Nakumbuka ililita impact kubwa sana kwa viwango vyao kabla hawajampa za uso.

Rashford na Martial wagombee namba 11 (LW). Hapo mtaona matunda kwa kiasi fulani. Kocha wenu aachane na ndoto yake ya kuwachezesha pamoja. Huwezi kuchezesha "watoto wavivu" wawili kwenye line-up moja match in match out.
 
Na Nyie vipaji vya kukosoa Pia mnavyo,

Mwanzo wa msimu niliweka comments kibao za expectation za msimu huu, na expectation za fan yoyote anaelewa ni sisi kuchallenge ubingwa na si kuchukua, ingekuwa ni vyema tungebeba tungekuwa tume over achieve Ila Pia kuchallenge ubingwa na Kupunguza gape la point na wa juu yetu Pia ni achievement kubwa kwetu.

Wakati ule tuna fanya vibaya nikiweka hizi comments wengi wenu mulikuwa mkipinga na kuponda timu haina uwezo, sasa hivi timu ipo nafasi ya pili bado mna tafuta sababu za kuponda vile vile sababu kukosoa nayo ni proffesion vile vile.

Anyway ukitaka nifukue makaburi ya comments za mwanzo Pia nitakuekea.
Mijadala ya kuponda mie huwezi niona humu ila nachotaka aende tu alipotufikisha inatosha sasa karudisha umoja na mshikamano ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ila linapokuja suala la ubingwa hajakaa kabisa kiubingwa.....
Nusu fainali nne out angekua mou ni kocha tunaongea mengine hapa....
 
Kwa kocha mpya kuja na kufika nusu fainali hio Pia ni achievement, Ole akiingia top 4 msimu huu atakuwa ni kocha wa kwanza kuingia top 4 back to back toka Fergie astaafu.

Niliwahi kusema huko nyuma na nitasema Tena sasa hivi hata Ole asipo chukua ubingwa bado atakuwa ni successfull na atatuacha eneo zuri ili mwengine apokee kijiti.

Jamaa ametatua almost 90% ya matatizo yote ya zamani na sasa hivi tunaanza ku dream Tena.
 
Man U
IMG_20210301_170834.jpeg
 
Ndio maana nataka aende alipotufikisha panatosha hana tena maajabu......kwa sasa ni bahati tu ndio anayoisubiria
 
Ndio maana nataka aende alipotufikisha panatosha hana tena maajabu......kwa sasa ni bahati tu ndio anayoisubiria
Unfortunately wewe ni katika minority, majority ya mashabiki wa man U bado wanamuhitaji na board Pia inamuhitaji.

Swali la kizushi tu nani aje akiondoka yeye? Na kwa nini?
 
★Man United's 2007/08 Double Winners Man United's 1998/99 Treble Winners

Who is winning this one?

P.S. It'd be a busy night for Scholes

#GGMU

manutd |
IMG_20210303_141838_676.jpeg
 
Back
Top Bottom