Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Aisee Chief, hauoni kuwa hapo umei-downgrade sana timu yako. Yaani back to back top four finish ndiyo yawe mafanikio kwa timu kama United! Duh, kwamba dunia inakimbia kasi kiasi hicho. Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa yule kocha wenu aliyewahi kusema 2018 kuwa malengo yenu wakati ule yalikuwa sawa na Everton!Kwa kocha mpya kuja na kufika nusu fainali hio Pia ni achievement, Ole akiingia top 4 msimu huu atakuwa ni kocha wa kwanza kuingia top 4 back to back toka Fergie astaafu.
Niliwahi kusema huko nyuma na nitasema Tena sasa hivi hata Ole asipo chukua ubingwa bado atakuwa ni successfull na atatuacha eneo zuri ili mwengine apokee kijiti.
Jamaa ametatua almost 90% ya matatizo yote ya zamani na sasa hivi tunaanza ku dream Tena.
Mimi nadhani zile timu traditional top six (ukiacha Arsenal) zinapaswa kuita mafanikio pale zinapochukua kikombe. Au walau kutinga fainali. Top four finish ni mafanikio kwa emerging teams kama Leicester, Everton, Wolves, Villa na akina West ham.
Nyie msilete visingizio, kipimo chenu ubingwa. Sisi tunaanza na Europa na Karagabaho kisha msimu ujao kocha wetu tutamwomba tena aende na kale karedio kwenye press conference.


