Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Tuwapige goli ngapi wazeee..!
hata tulipofika kwa washambuliaji wetu tulionao ni afadhali, uko na rashford anapata mpira wa kusukuma ata kwa upepo tu uingie, anaanza kuvuta mpira kududi nyuma, anamtafuta martial ambaye anakua kama anasubiri mpira umfuate (poor positioning) tunahitaji clinical finishers kuliko hawa tulio nao, ndio tunatengeneza nafasi za kutosha lakini tunamtengenezea nani hizo nafasi?mpaka tarehe 27/01/2021 ligi kuu ya uingereza ilikuwa bado ina mvuto, nakumbuka ilifikia hatua timu ikiwa itapoteza alama 4 ndani ya mechi 2 basi inateremka mpaka nafasi ya 5. Tafsiri yake ni kwamba takribani timu zote zilikuwa na utofauti mdogo sana wa alama na hii ilitokanwa zaidi na ukosefu wa ushindi mfululizo.
udhaifu wa liverpool na manchester city mwanzoni mwa msimu ndio kulitupa fursa ya kuonekana wapigania kombe lakini ndoto hiyo kwa makusudi imefutwa.
hizo mechi zitaendelea kuniumiza kadri nitakavyoendelea kuzikumbuka, laiti kama man city angelituzidi kwa alama 6 bado ushindani ungelionekana dhahiri.
- unafungwa na sheffield = point 3
- unatoa suluhu na everton ambayo umeifunga mechi mbili mfululizo uwanjani kwao = points 2
- unatoa suluhu na arsenal = points 2
- unatoa suluhu na west bromwich = points 2
Lingard ni "super sub" anayeweza kukupa vifuatavyo;Nasikia kwenye mkataba mmeweka kipengele cha kuto nunuliwa huko westham ,mlijua kama atakiwasha hahaaaaaa
...!
United haiwezi Fanya biashara na city kwa sawa ...
Sema united haijui inataka nin Lingardinyo anaenda westham anatupia magoli ila united mlikuwa mnamuona useless ...
kila dakika.Martial hauziki kirahisi. Mbali na kuwa kipenzi cha kocha ni kipenzi pia cha Ed Woodward kibiashara. Ukiacha kuwa kipenzi cha mashabiki na hivyo kuuza sana, deal yake kutoka Monaco inaipa disadvantage United mauzo yanapofanyika.Kwa mwenendo huu wa Rashford pamoja na mwenzake Martial,nadhani ni wakati muafaka wa kuirudisha mezani hoja ya uwezo sahihi wa hao madogo wawili kama kweli wanaweza kutubeba msimu ujao au tunaendelea kucheza kamari na kumuachia Pep atuadhilishe atakavyo.
Ningependa kuona madhaifu ya mwalimu yanafichwa na ubora wa wachezaji wake kama alivyofanya Zidane na Madrid yake kabla CR7 hajawa historia pale bernabeu,lakini mapenzi ya Ole kwa hawa vijana ndio yatamfukuzisha pale OT.
Bado hajafukuzwa tu...mpaka tarehe 27/01/2021 ligi kuu ya uingereza ilikuwa bado ina mvuto, nakumbuka ilifikia hatua timu ikiwa itapoteza alama 4 ndani ya mechi 2 basi inateremka mpaka nafasi ya 5. Tafsiri yake ni kwamba takribani timu zote zilikuwa na utofauti mdogo sana wa alama na hii ilitokanwa zaidi na ukosefu wa ushindi mfululizo.
udhaifu wa liverpool na manchester city mwanzoni mwa msimu ndio kulitupa fursa ya kuonekana wapigania kombe lakini ndoto hiyo kwa makusudi imefutwa.
hizo mechi zitaendelea kuniumiza kadri nitakavyoendelea kuzikumbuka, laiti kama man city angelituzidi kwa alama 6 bado ushindani ungelionekana dhahiri.
- unafungwa na sheffield = point 3
- unatoa suluhu na everton ambayo umeifunga mechi mbili mfululizo uwanjani kwao = points 2
- unatoa suluhu na arsenal = points 2
- unatoa suluhu na west bromwich = points 2
bado tuna imani nayeBado hajafukuzwa tu...
Kwn nyie mnaosema Man utd haimiliki mpira mnaiangalia ktk angle ipi?nimejiuliza maswali:
================================
- Je tukimsajili jack grealish na sancho ndio tutakuwa tumefanikiwa kutatua tatizo la umiliki wa mpira?
- mbona van gaal aliweza kujenga team yenye uwezo wa kutawala possession licha ya kuwa na wachezaji wa kawaida hususani wa kiungo, kwa nini wengine waliomfuata wanashindwa na uwanja wa mazoezi bado ni ule ule?
rudi kaiangalie timu ya xavi hernandez jinsi inavyocheza, je tuseme wale waarabu wana wachezaji bora kuliko manchester united?
matatizo ya umiliki mpira ni ya mwalimu na falsafa zake na si wachezaji.
Leo umeongea mkuu.Scot na Fred siyo wabovu sana katika passing ukilinganisha na midfielders wengine
Kikubwa wanatakiwa waimprove katika foward passing na kuipandisha timu mbele badala ya kusubiri Bruno aamue mpira uende wapi.
Striking force yetu inapoteza nafasi nyingi sana kuliko msimu uliopita sijajua kuna nini kina wasumbua mastriker wetu.
Msimu uliopita timu yetu ilikuwa inatengeneza nafasi chache sana za kufunga magoli lakini tulikuwa clinical sana kwenye chances conversion.
Pattern yetu ya uchezaji haieleweki ndiyo maana hatuonekani kuwa mwelekeo mzuri kwenye uchezaji tunacheza kwa kubahatisha bahatisha tu this is down to coaching.
Hapa ss tuko pa1.Ni heri wafanye hivyo badala ya kuendelea kutegemea Anthony Martial afanye maajabu asiyokuwa nayo.
Chief Mkwawa
Ndugu yng cyo castel palace ni "crystal palace"ebu tuonge leo MAN U castel palace atutuacha kweliiiii
ukisoma vizuri comment ya huyo member niliyemnukuu utapata tafsiri ya aina gani ya soka analolihitaji.Kwn nyie mnaosema Man utd haimiliki mpira mnaiangalia ktk angle ipi?
Mimi ndio nimechanganyikiwa kabisa kwa kilichotokea halafu humu watu wakajisahaulisha makusudi tulivyopitwa wakawa wapo bize kuwananga livapool.....kuja kushtuka pointi kumi tumeachwa jamani inauma hii kitu acheni tu......mi ndio maana kauli yangu moja tu "bado hajafukuzwa tu"......sosha hajakaa kiubingwa kabisaaaaaUshindi mwembamba leo kisha kipigo jumapili..hiyo ndo curve yetu.
Chief-Mkwawa leta stats..nini kimetokea mbona City wametupita kama upepo vile?