Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani sisi bhana
Team za kujipatia vipoint kama hizi ndo tunacheza kama tunacheza na team kuuuuuubwa...tunacheza kama tunataka mpira uishe tu
Yaaaani kama tunatafuta draw na team ya maana,kumbe ni crystal palace

Tusubiri kipigo cha city sasa dadeki
 
Wakuu kwa pamoja naomba tukubali kukubaliana kwamba Ole hawezi kutuvusha, tumemvumilia vya kutosha inabd aje kocha atakaye introduce mentality ya ushindi, wachezaji tunao ila wanacheza kizembe sn yn km hawako concerned na mashabiki, unakuta mchezaji zimebaki dk 2 mpira wa kurusha anachelewa au anazozana na mpinzani, pasi zinapigwa back passes wkt dk zimeisha na kocha hasemi kitu ame relax tu.

Kitu kingine ni kwamba huyu Ole ule mfumo wake wa double pivot umeshafeli na haonekani kuwa na mbinu mbadala amekariri mfumo huo huo, hamna kitu hapa.
 
hii timu yetu bundle limeisha kabisa, hakuna tena shauku ya kushinda, poor foward line (no one with creativity) since dakika ya kwanza timu inacheza kama tayari inaongoza goli nne, yule bruno tuliyekua tunambebesha mzigo naona nae kaamua sasa autue kisanii, basi hitimisho la hayo yote ni tafrani, na kwa jinsi ole alivyogusia kuhusu usajili, naona tena msimu ujao tunakua wakuperform kwa mihemko,

tusubiri amad diallo (messi mtoto) akue, atubebe kama messi alivyoibeba barcelona maana ndio tunavyoaminishwa na ed na genge lake la wahuni, baada ya kusema hayo sasa naweza kulala kwa amani
 
“Refa unaniruhusu nikapige penati badala ya kona?”
IMG_0870.jpg
 
Wakuu kwa pamoja naomba tukubali kukubaliana kwamba Ole hawezi kutuvusha, tumemvumilia vya kutosha inabd aje kocha atakaye introduce mentality ya ushindi, wachezaji tunao ila wanacheza kizembe sn yn km hawako concerned na mashabiki, unakuta mchezaji zimebaki dk 2 mpira wa kurusha anachelewa au anazozana na mpinzani, pasi zinapigwa back passes wkt dk zimeisha na kocha hasemi kitu ame relax tu.

Kitu kingine ni kwamba huyu Ole ule mfumo wake wa double pivot umeshafeli na haonekani kuwa na mbinu mbadala amekariri mfumo huo huo, hamna kitu hapa.
Ndugu yangu ni kweli uyasemayo. Kikosi unacho ila kocha huna. Kwa hiyo vikombe pia hautakuwa navyo.
 
Arsenal alishinda old traford kwa goli la kutengenezwa na saka eti?

ndo unavyojitetea hivyo?

Manyumbu bila ya penalty tusingekuwa tukiongea kuhusu Bruno wala nafasi ya 2.. hilo lipo wazi.
 
Yaani sisi bhana
Team za kujipatia vipoint kama hizi ndo tunacheza kama tunacheza na team kuuuuuubwa...tunacheza kama tunataka mpira uishe tu
Yaaaani kama tunatafuta draw na team ya maana,kumbe ni crystal palace

Tusubiri kipigo cha city sasa dadeki
na Sinta waacha juma pili lazma niwanyooshe pale etihad
 
Timu yetu haina tofauti na ihefu tunejaza so many average players ili tuweze kupambana tunahitaji wachezaji 5 striker world class winger mmoja matata beki wa kati kisiki kiungo wa ulinzi 1 na kiungo namba 8 anayejua
 
Ila kocha wetu wakuu sijui na genge lake wanachofikiria kwa mfano kuna wachezaj viwango vyao vipo chini sana lakin wanacheza kosa la pili kuifikiria timu ya mbele wakat ya nyuma hujamalizana nayo haya matokeo ni muendelezo wa upuuzi wa mech ya shefield united

Namuheshimu sana kocha wetu kwa kuleta umoja kwenye timu hilo kila siku ntakuwa muwazi ila hakuna kocha tutapata kama mourinho wengi mnapinga sana ila mtazidi kuelewa tu taratibu na hata aliposema kumaliza nafasi ya pili na ile timu ya wakina phil jones ni mafanikio makubwa ktk kazi yake ya ukocha vinaanza kujionesha

Mourinho aliongea sana suala la martial leo jambo lipo wazi kaongea pogba pamoja na kwamba yeye alimleta kila siku timu inasaka kiungo na si kwamba pogba mbovu hapana kumudu majukum tu huwa anazembea

Hata pep alikosea kwa wakina nolito na yule kipa alimtoa barcelona bado alisahihisha makosa

Timu imebanwa balaa leo anatoka cavan anaingia james anamtoa fred anamuingiza scott???? hao ndio anataka wakabadili matokeo


Kitu nawaza hadi muda huu kashindwa kabisa kumtumia DVB na yule dogo mwingine dialo anakwenda kupotea alisajili pelistri kapotea huko anawachukua wa nn?

Mengine tunashindwaga kuhoji hapa kwa kuwa tunaonekana tunachuki

Greenwood hastahili kumaliza dakika 90 mara ya mwisho kufunga goli mech ya liverpool kwenye FA hii ina maana gani sasa?

Kocha ambae hii timu ingempata tungelamba dume ni huyu

Josef "Jupp" Heynckes

IMG_0708.jpg



Huyo wangefanya mbinu za kumrudisha kufundisha mpira ni mzur sana hasa mbinu zake

Tatizo alistaafu lakin kama kuna mzigo anarudi tu huyo angeimudu hii timu

Harry maguire alipokuwa leicester city alikuwa na rekod nzur sana toka aje kwetu kawa kituko kwa sasa nahisi mbinu za kocha wetu ni mbovu kuna wachezaj wanashuka viwango kwa kasi sana

Mechi ya real socieded yule dogo amad dialo alichezeshwa upande ambao sio wake mistake nyingine hiyo kama ambavyo tumpoteza rashford yule wa van gaal kirahisi sana kwa ajili ya kumfanya martial awe center foward jambo ambalo bwana martial limemshinda tukamuuza Lukaku kwa mbwembwe kupisha hawa madogo

Hii timu isipotumia pesa kupata wachazaj wakomavu tukitegemea wakina greenwood na shola inazidi kupotea

Toka class of 92 hakuna kizazi kilichoibuka toka kwenye academy

Wakuu mnasikia tena La masia?

Mess ndio anamalizia La masia msoto unaanza.
 
Kitu kingine kocha wetu hana kipaumbele anachosha sana wachezaji michuono yote wanabadilika ni lindelof na bailly tu huyo bruno kila mech anacheza hachoki?

Europa
Carabao
Fa

hivi vitu alitakiwa aviache kwa sababu top 4 ni uhakika ila kwa uzembe wake anaweza kukosa vyote hiyo michuono ilikuwa ya wakina diallo na tuanzebe tu wapashe misuli apiganie timu ibak top 4 spurs sio kwamba wabovu wamecheza mech nyingi sana had wamepotea kwenye table.
 
Siku zote akili ya Ole ni "safety first",kwahiyo hizi draw tutaziona sana tu chini ya huyu mzee.
Kila game kwetu ni ngumu ndio maana tunaona double pivot kila siku na kila mechi,ila siku tukicheza na liver,arsenal.chelsea,city,n.k. tunacheza na mentality ya underdogs tu. Aibu sana hii.
Mbinu za mashambulizi za Ole ni counter attack kwa 80% kitu ambacho timu nyingi zimeishapata mwarobaini wake.
 
Kocha ambae hii timu ingempata tungelamba dume ni huyu

Josef "Jupp" Heynckes

View attachment 1716804


Huyo wangefanya mbinu za kumrudisha kufundisha mpira ni mzur sana hasa mbinu zake

Tatizo alistaafu lakin kama kuna mzigo anarudi tu huyo angeimudu hii timu
Hahahaa you serious? Huyu babu ni mzee sana umri wake ni zaidi ya miaka 70. Hata nafasi ya ukurugenzi wa ufundi haimfai.

Kwa sasa tunahitaji sana mkurugenzi wa ufundi hakuna mtu makini wa kuongoza timu kimpira Ed ni bozo tu. Muda mrefu sana Ole alipaswa kufutwa kazi.

Sioni tukibeba kombe na Ole. Sio mbunifu kiufundi pia anaonekana ni muoga muoga sana hana ukali kwa wachezaji wakifanya ujinga.
 
Back
Top Bottom