Na Nyie vipaji vya kukosoa Pia mnavyo,
Mwanzo wa msimu niliweka comments kibao za expectation za msimu huu, na expectation za fan yoyote anaelewa ni sisi kuchallenge ubingwa na si kuchukua, ingekuwa ni vyema tungebeba tungekuwa tume over achieve Ila Pia kuchallenge ubingwa na Kupunguza gape la point na wa juu yetu Pia ni achievement kubwa kwetu.
Wakati ule tuna fanya vibaya nikiweka hizi comments wengi wenu mulikuwa mkipinga na kuponda timu haina uwezo, sasa hivi timu ipo nafasi ya pili bado mna tafuta sababu za kuponda vile vile sababu kukosoa nayo ni proffesion vile vile.
Anyway ukitaka nifukue makaburi ya comments za mwanzo Pia nitakuekea.