Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,506
Umeshaangalia mechi zake full (sio highlights za YouTube) ngapi?
Wabongo bhana
Wabongo bhana
Yule Dogo Felix ni level nyingine kabisa.
Yule Dogo Felix ni level nyingine kabisa.
Tukumbushane tu Joao felix so far michuano yote ana Goli 3 na Assist 1 katika dakika 886 alizocheza.
Mason Greenwood ana Goli 4 na assist 1 dakika 388 ambazo ni chache zaidi.
Wazee Wa Kuruka Vihunzi.Joao Felix alipatwa na majeraha halafu Joao felix ni attacking midfielder wakati Greenwood ni striker.
Joao Felix alipatwa na majeraha halafu Joao felix ni attacking midfielder wakati Greenwood ni striker.
hata mimi siku niliomuona pale atletico nilizidi kushangazwa na thamani yake.Kwa kumbukumbu zangu Joao Felix ni mrithi wa Griezman (goli moja kwa karibu nusu msimu kwa namba 10 ni chache sana)
Na kumbukumbu zangu zinaniambia, Greenwood amekuwa akichezeshwa pembeni zaidi kuliko katikati (nafasi ya striker)
Na hapo mmoja kacheza dakika 800 na mwingine mwenye goli chache kacheza dakika 300
Nashauri tu, tuvithamini vya kwetu
Kama mkuu Mc cane alivyosema kwa anavyochezeshwa Greenwood Man U mwingi ni Attacking midfield, anatokea zaidi upande wa kulia.Joao Felix alipatwa na majeraha halafu Joao felix ni attacking midfielder wakati Greenwood ni striker.
Kwa kumbukumbu zangu Joao Felix ni mrithi wa Griezman (goli moja kwa karibu nusu msimu kwa namba 10 ni chache sana)
Na kumbukumbu zangu zinaniambia, Greenwood amekuwa akichezeshwa pembeni zaidi kuliko katikati (nafasi ya striker)
Na hapo mmoja kacheza dakika 800 na mwingine mwenye goli chache kacheza dakika 300
Nashauri tu, tuvithamini vya kwetu
Kama mkuu Mc cane alivyosema kwa anavyochezeshwa Greenwood Man U mwingi ni Attacking midfield, anatokea zaidi upande wa kulia.
Na strength za felix sio nguvu ama urefu ama attributes nyengine za midfielder bali ni creativity na ufungaji wa Magoli. Jamaa vitu vyengine yupo average hata pass accuracy zake hazijawahi fika asilimia 80.
Watoto watakaotuwakilisha leoView attachment 1275211
Asingecheza grant tungeweka rekodi ya dunia ya kikosi cha umri mdogo zaidi kupata kucheza michuano ya ulaya.Watoto watakaotuwakilisha leoView attachment 1275211
hata mimi siku niliomuona pale atletico nilizidi kushangazwa na thamani yake.
dogo bado ni mwepesi sanaaa.
watengenezaji wa video pale youtube wanatuuzia uhuni.
sasa nimeelewa kwa nini makocha na wasaka vipaji wanakwenda uwanjani kushuhudia mechi
Watoto watakaotuwakilisha leoView attachment 1275211
huyu mengi asili yake ni uchagani?Zaidi nitawaangalia Dishon, Laird, Garner na Levit
Tuone kama wanaweza kutusaidia miaka kadhaa ijayo
T. Mengi wa kwetu huyohuyu mengi asili yake ni uchagani?
Captain Jesse lingardWatoto watakaotuwakilisha leoView attachment 1275211
huyu mengi asili yake ni uchagani?