Hebu Tu assume ole amepewa target zake zote
1. Hio namba 10 badala ya kucheza lingard ama perreira angekuwa dybala
2. Striker angekuja kama alivyotaka
3. Midfield angekuja pia mechi kama ya Shefield tusimchezeshe perreira midfield.
4. Winga wa kulia.

Je timu yetu ingekuwa wapi sasa hivi.
Chief-Mkwawa wewe ni miongoni mwa wadau wanaofuatilia mambo kiundani sana humu ndani pengine kuliko mchangiaji yeyote ndani ya thread hii hususani linapokuja suala la takwimu , ishu za ndani zinazohusu masuala ya kifedha na repoti za usajili na kwa hilo nakupa hongera sana kaka yangu , labda mkuu unaweza kutupa uthibisho wowote juu ya hayo madai yako nilioyanukuu hapo juu ya kwamba OGS mwenyewe alihitaji wachezaji hao wanne waungane na wale watatu kwenye dirisha hili la usajili na si maneno ya watu (uvumi)
  • namba 10 mfano dyabala au maddison
  • striker baada ya kumuondoa lukaku mfano dembele
  • midfield mfano wa bruno fernandez, longstaff, declan rice
  • winga wa kulia mfano sancho
ed woodward anasema ya kwamba ishu zote za usajili msimu huu zimeongozwa na crew husika yenye kujielewa ndani ya klabu, swali langu inawezekana vipi tushindwe kusajili angalau target mbili kati ya nne hizo?

There is a myth that we have non-football people making football decisions," he said. "I think that is insulting to the brilliant people who work on the football side in this club."

mwezi uliopita ed woodward kupitia interview ya jarida la United We Stand alizungumza hivi
We want players to come in who respect their teammates, the club, the history,”
“They must understand that they are creating a legacy by coming to Manchester United. Nobody is bigger than the club.
“There should be both a humbleness and an arrogance. Humble when you are on the team coach and you wear the club suit, you do up your top button and wear your tie, you represent the club in the right way. Then you sign autographs for the people who pay your wages.
Whatever manager we have has to buy into that philosophy and Ole is a walking, talking version of that. Let’s let this play out with Ole in terms of the culture reboot.”

nikisema ogs mwenyewe ndiye aliyefelisha baadhi ya target hizo ambazo sisi mashabiki tungelipenda kuzishuhudia zikivaa uzi mwekundu nitakuwa nakosea?
na sababu kubwa ikiwa ni kuangalia philosophy pamoja na utamaduni wa kuipigania beji ya klabu kwa nyakati zote za shida na raha
 
Hivyo ole anaisuka timu mimi bado nina imani nae na naamini ni mtu sahihi kuwa pale, sababu pekee ambayo nitakubaliana nayo kwamba ole aondoke ni kama Ed ataachia ngazi aje DOF wa michezo na Alete kocha wake atakaefanya kazi, bila Hivyo akiondoka Ole hata aje nani tunarudia tu cycle ya Moyes, LVG, Mou.
yes ole anasuka timu na kila mtu anaona jitihada zake kuanzia kuwapa nafasi graduates kutoka academies bila ya kujali kukosa kwao uzoefu kwenye mashindano makubwa, maisha yote uzoefu kwa mchezaji husika unapatikana akiwa ndani ya uwanja na si kwenye benchi la wachezaji wa hakiba (kwa hili namsifu sana)

wachezaji wake wote aliowasajili wameleta taathira kubwa sana mpaka muda huu kwenye kikosi cha kwanza.(pia kwa hili namsifu sana)

lakini yote hayo yanasahaulika au yatasahaulika kwa haraka sana kama timu itaendelea kusuasua na kukosa muelekeo sahihi wa kiushindani na tayari dalili zimashaanza kuonyesha kwenye hizi mechi 13 tulizocheza ambapo tumejikuta tukipata matokeo yasioendana na level yetu.

kujificha kwenye kivuli cha kujenga timu ya ushindani itakayodumu kwa muda mrefu huku ukiruhusu timu ikipoteza alama muhimu tena dhidi ya timu ndogo ambazo ndio nyingi kwenye msimamo wa ligi ni udhaifu na uzembe mkubwa sana usiostahili uvumilivu wa muda mrefu bila ya kuchukuliwa hatua japo ya karipio.

leo hii tumezidiwa na leicester city, sheffield united, wolves pamoja na burnley na hizi zote ni timu ndogo sana kibajeti, kimiundo mbinu na vyenginevyo.

laiti kama tungelikuwa tunapata matokeo kama yale ya chelsea basi kidogo tungelizidi kuwa na matumaini dhidi yake, poteza dhidi ya timu kubwa lakini zifunge timu ndogo.

tofauti yetu sisi na timu ya 17 ambayo ni west ham ni alama 4 na hao west ham wametufunga.

kama nilivyosema kumleta mwalimu mwengine hakutupi uhakika wa kufanya vizuri kwa sababu tumeshabadili walimu wanne na kuendelea kubaki na OGS kwa kutumia references za mechi hizi 13 basi hakutupi uhakika wa kurudia ubora wetu kwa muda uchache ujao.

acha tuangalie dirisha la usajili litakuwaje japokuwa nimesikia uvumi ya kwamba OGS hafikirii kuongeza mchezaji kwa manunuzi ya cash, binafsi naamini mabadiliko yetu yatachangiwa zaidi na usajili wa wachezaji na si kusubiria miujiza ya wachezaji wetu kupandisha viwango vyao.
 
Chief-Mkwawa wewe ni miongoni mwa wadau wanaofuatilia mambo kiundani sana humu ndani pengine kuliko mchangiaji yeyote ndani ya thread hii hususani linapokuja suala la takwimu , ishu za ndani zinazohusu masuala ya kifedha na repoti za na kwa hilo nakupa hongera sana kaka yangu , labda mkuu unaweza kutupa uthibisho wowote juu ya hayo madai yako nilioyanukuu hapo juu ya kwamba OGS mwenyewe alihitaji wachezaji hao wanne waungane na wale watatu kwenye dirisha hili la usajili na si maneno ya watu (uvumi)
  • namba 10 mfano dyabala au maddison
  • striker baada ya kumuondoa lukaku mfano dembele
  • midfield mfano wa bruno fernandez, longstaff, declan rice
  • winga wa kulia mfano sancho
ed woodward anasema ya kwamba ishu zote za usajili msimu huu zimeongozwa na crew husika yenye kujielewa ndani ya klabu, swali langu inawezekana vipi tushindwe kusajili angalau target mbili kati ya nne hizo?

There is a myth that we have non-football people making football decisions," he said. "I think that is insulting to the brilliant people who work on the football side in this club."

mwezi uliopita ed woodward kupitia interview ya jarida la United We Stand alizungumza hivi
We want players to come in who respect their teammates, the club, the history,”
“They must understand that they are creating a legacy by coming to Manchester United. Nobody is bigger than the club.
“There should be both a humbleness and an arrogance. Humble when you are on the team coach and you wear the club suit, you do up your top button and wear your tie, you represent the club in the right way. Then you sign autographs for the people who pay your wages.
Whatever manager we have has to buy into that philosophy and Ole is a walking, talking version of that. Let’s let this play out with Ole in terms of the culture reboot.”

nikisema ogs mwenyewe ndiye aliyefelisha baadhi ya target hizo ambazo sisi mashabiki tungelipenda kuzishuhudia zikivaa uzi mwekundu nitakuwa nakosea?
Mkuu issue ya Dybala ilikuwa ni deal done imekwamishwa na Imaging right, Dybala ameuza haki zake za matangazo na akiondoka juve inabidi awalipe hao jamaa na Ed amekataa kutoa hicho kiasi (kiliwekwa kama Agent fee).

Je Ole Alimtaka Dybala?
Mwezi wa 3 hata kabla ya Ole kuwa kocha wa moja kwa moja aliongea kwenye podcast ya Fotballklubben kwamba inapotokea chance ya Kumsajili messi ama Dybala huhitaji rocket science ama scout yoyote yule ni moja kwa moja unamchukua. Walikuwa wakiongea kuhusu false 9.

Hivyo ole anamhusudu huyu jamaa ama False 9 yoyote ndio maana unaona Hata martial sasa hivi anapewa hii role.

Na kuhusu usajili ole mwenyewe akiongea na waandishi wa habari amekiri anataka striker, tena mara nyingi ameongea maneno haya.

Aliongea hivi mwanzo wa msimu

Of course, when we let Alexis (Sanchez) and (Romelu) Lukaku go, you don't have to be a rocket scientist to know it's a forward we're going to try to recruit next time," Solskjaer said.

"It was time for Romelu Lukaku to go, though - he knows that, he didn't want to be here, and what's the point in having players who don't want to be here?

"We're looking for some creativity and goals, but they (potential signings) have to be the right one.

Na baadae tena kwenye press conference nyengine pia aligusia suala la striker na creativity.

Inawezekana sio bruno, ila kwa maneno yake mwenyewe tunatafuta mtengeneza magoli.
 
Hivyo ole anamhusudu huyu jamaa ama False 9 yoyote ndio maana unaona Hata martial sasa hivi anapewa hii role.

Na kuhusu usajili ole mwenyewe akiongea na waandishi wa habari amekiri anataka striker, tena mara nyingi ameongea maneno haya.
nafahamu ya kwamba ole aliongea maneno hayo kwa nyakati tofauti lakini sidhani kama ndicho alichokuwa akimaanisha kwenye ubongo wake hususani anapokuwa mbali na waandishi wa habari.
kwa mtazamo wangu
ole alikuwa na uwezo wa kutafuta kwanza mshambuliaji mpya kabla ya kumuuza romelu lukaku ambaye hakuwa tena kwenye mipango yake ya kuwa mshambuliaji namba moja tokea msimu uliopita.

hiki kinachotokezea nyakati hizi ndicho kilichokuwepo kwenye ubongo wa OGS, bwana ole alihitaji kuona antony martial, rashford na greenwood ndio wanakuwa waendashaji jahazi la safu ya ushambuliaji na si ujio wa mshambuliaji mpya.

kufeli kwa wanadamu hao watatu kwa sasa (kushindwa kufunga magoli mengi kwa pamoja) ndio kumeibua tena hoja ya kutafuta mshambuliaji mwengine japo kwa njia ya mkopo, ujio wa mshambuliaji kwa mfano mandzukic hakutawawazibia riziki hawa ndugu watatu hususani greenwood.

kinyume chake kufanya vizuri kwa rashford, greenwood na anthony martial ndiyo kuzikwa kwa hoja ya kutafuta mshambuliaji mwengine atakayeziba pengo la lukaku, ikitokezea utatu wetu ukawa unafunga magoli mengi hutozisikia tetesi za kutafutwa mshambuliaji mpya

kiupande wangu naamini OGS hakuwa na dhamira ya kutafuta mshambuliaji mpya nyakati za usajili kwa sababu tayari alishafanya maamuzi ya kuwakabidhi majukumu ndugu watatu tokea mechi za kirafiki.

huo ndio mtazamo wangu
 
hio kauli ya kutaka striker aliitoa dirisha lilivyofungwa tu hata kabla hatujaanza kupoteza hivyo hilo suala la ole kuataka striker sababu timu inafanya vibaya si kweli. kifupi ole hataki mtu wa kusimama pale mbele, anataka mtu mwenye movement na kulink na wenzake. na greenwood hata hio premier league hachezi sana. akipatikana mtu hata hii January anaweza kuja, ngoja tuone huyu mtoto wa Salzburg itakuwaje.

leo jamaa yako kwenye interview amekiri kwamba kuna wachezaji mmoja ama wawili tofauti na beki wa kati ambao alimkatalia mourinho asiwasajili, hivyo mou kakataliwa wachezaji 2 ama 3 kabla hajatimuliwa.

kwenye usajili mkuu tutalaumu sana makocha ila mwisho wa siku mwenye maamuzi ya mwisho ni huyo jamaa unakumbuka tetesi za Bruno na pass accuracy asilimia 75? unafikiri nani ameamua hivyo? jopo letu la usajili lipo hovyo sana, kuna nyepesi nyepesi jamaa mmoja insider anaclaim msimu huu kuna mchezaji right back top player kutoka top club (probably Munier wa psg) alikuja Man utd akakutana na Matt judge, jamaa ni clue less kabisa kaanza kumuuliza unaitwa nani, umecheza timu gani na appearence ngapi? agent wake akakasirika na kumuambia mapokezi waliyopata spurs. source ya video hii hapa dakika 5 za mwanzo video ni ndefu sana
 
Hebu Tu assume ole amepewa target zake zote
1. Hio namba 10 badala ya kucheza lingard ama perreira angekuwa dybala
2. Striker angekuja kama alivyotaka
3. Midfield angekuja pia mechi kama ya Shefield tusimchezeshe perreira midfield.
4. Winga wa kulia.

Je timu yetu ingekuwa wapi sasa hivi.

Niwakumbushe tu mashabiki wenzangu wa Man U matatizo ya msimu uliopita.
1. Timu zilikuwa zinatukimbiza tulikuwa tunashika nafasi ya 18 linapokuja suala la kukimbia uwanjani ila sasa hivi tunakubaliana hili tatizo limetatulika mechi nyingi tunawazidi wapinzani.

2. Tulikuwa na tatizo la beki, sasa hivi hali ime improve zaidi japo bado tatizo lipo hasa upande wa kushoto ila kulia na kati tupo njema.

3. Mishahara mikubwa,

4.umoja wa kitimu, ni nadra sasa hivi kukuta kuna tatizo dressing room, wachezaji wote ni kitu kimoja na unawaona wanakuwa kitimu zaidi.

Hivyo ole anaisuka timu mimi bado nina imani nae na naamini ni mtu sahihi kuwa pale, sababu pekee ambayo nitakubaliana nayo kwamba ole aondoke ni kama Ed ataachia ngazi aje DOF wa michezo na Alete kocha wake atakaefanya kazi, bila Hivyo akiondoka Ole hata aje nani tunarudia tu cycle ya Moyes, LVG, Mou.

Tatizo pekee ambalo naona Ole nae linamshinda ni majeruhi, Toka Moyes atutimulie Jopo letu la wataalamu majeruhi man U ni wengi sana, tumekuwa kama Arsenal.

OGS kama kocha ana matatizo mengi sana na kilichomsaidia kuwepo mpaka leo ni yeye ni Manchester United legend,he was cheap option and he is yes man.We know United imekuwa na average players kutokana na poor structure kwenye usajili but as time go hata hao average players walionekana ni afadhali huko nyuma.Lingard ni mbovu but alikuwa very productive kwa LVG & Mourinho now hafai hata kuwepo kwenye match squad,mpira tunaocheza hauna tofauti na wale makocha waliotimuliwa na stats za matokeo anazopata ni za kufukuzwa

Amekuwa kwenye timu ni almost mwaka now na alienda pre-season na team lakini so far ni ngumu sana hata kujua philosophy yake ni ipi na haijulikani so far anaijengaje hiyo team haya ya wachezaji kutosajiliwa kila kocha post SAF era ameyapitia .Defence ime-improve kidogo kwa kusajili quality players (credit to him) but nilisema one day hata hao wachezaji tutaanza kuwalaumu na tayari tumeshaanza

Another problem ambalo tangu amekuja limetokea ni majeruhi hata wewe umeliona(Pogba,Tuanzebe,Martial,Matic,Dalot na wale wa miaka yote Shaw,Baily,Rojo wameendelea na majeruhi yao
 
Man united ipo kwenye mkwamo wa kifikra kuiondoa hapo ilipo kwenda hatua nyingine.

Na huu mkwamo ulianzia kwenye succession plan kwenye Management mpaka technical bench.

Mwanzoni waliokuwa wakutupiwa lawama ni walimu na walioongoza hii vita ya lawama dhidi ya makocha ni hao Jobless kina Gary Neville, Paul Scholes na Rio Ferdinand.

Waliyokuwa wakiyapigia kelele kaja Ole kayafanya timu imekuwa mbovu zaidi na imepoteza kabisa hata identity yake na ile threat yake dhidi ya timu pinzani.

Kimsingi Ole alijaribu kubet bila kujua kuwa alihitaji sana experienced players na squad depth katika rebuild process, leo kaondoa experienced players wote kabaki na watoto timu imekuwa legelege sana kiasi cha kutishia uhai wake kwenye epl.
nadhani tatizo kuu linaanzia hapa na hata mimi nakubaliana na wewe kwamba jamaa hakufanya upembuzi yakinifu, inawezekana aliamini kwa kikosi alicho kirithi ukiongezea na maingizo mapya na wahitimu wa academies basi ana uwezo wa kuleta ushindani mkubwa sana kwenye top 4.

kuna sehemu nimesoma nimeona gary neville anasema klabu inapaswa iongeze wachezaji watano wapya nikabaki kucheka, nikikumbuka kejeli na dharau zao walizozionyesha kwa walimu waliopita pindi walipojaribu kuzungumzia udhaifu wa timu yetu eti leo hii kwa kuwa rafiki yao ndio bosi mkuu wa timu wanamtetea kwa hoja zile zile walizozipinga mwanzoni.

They need another centre back, they need a left-back and a couple of central midfielders and a striker or a forward. ‘That’s not going to change and won’t change entirely even after January. But there’s something there.’

mshambuliaji(lukaku) ameuzwa na OGS.
midfield wawili (fellaini na herrera) wameondolewa na OGS bila ya kutafuta wengine
 
Lakin mpaka mwalimu atakapobadilika na kuwa na uhitaji wa mafanikio binafsi na kujenga kikosi kitakachokuwa na ndoto hizo pia.

Kuna wakati mwingine nafikiri labda wamuongeze Evra kwenyentechnical bench kama part ya motivation na fighting mentality.
swadakta
kwa mwendo huu tunaoendelea kutembea nao kwenye hii safari yetu ya kurudisha ubora wetu huenda ikatuchukua mpaka world cup ya qatar ndipo kidogo tutakuwa na uwezo wa kugombania ubingwa
 
Hili ni janga kubwa.
Hatuna wachezaji wenye skills za kutosha kupambana na adui tukizidiwa mbinu za mwalimu hatuna namna tunafungwa.

Wachezaji hawana decision making skills uwanjani with or without the ball hii unahitaji akiwa hayupo Pogba no creativity kwenye kikosi kizima.

Timu haifungi magoli kwenye set pieces kiasi imefikia kucheza kona kwetu ni sawa na kupoteza muda tu maana hazina msaada wowote sijajua kama huwa tunazifanyia hata mazoezi set pieces.

Katika mechi 13 tumekosa Karibia penalty tano haya ni matokeo ya timu kutokufanya mazoezi set pieces.

Tunahitaji wachezaji wa aina gani?.

1 lazima tupate wachezaji wanaojua kusoma mchezo na kuichezesha timu katika mwelekeo wa kudominate the game kwenye kikosi chetu hatuna hawa watu.

2 tunahitaji deadball specialist ambaye ni regular starter kwenye kikosi chetu hatuna mchezaji wa namna hii.

3 tunahitaji wachezaji watatu wenye physical presence uwanjani kwenye kikosi chetu ukiondoa Scot na Maguire hatuna mwingine watu wa namna hii wanahitajika walau wawe wanne kama regular starter ukiangalia Liverpool karibia kikosi kizima kina watu wa namna hii.

4 Striking Force inahitaji kufanyiwa overhaul hatuwezi kushinda mechi kwa strikers wanaofunga magoli ya aina moja na so predictable na hawajitumi kama tulionao they loose the ball so easily na wakipoteza mpira wanaanza kutembea kama wako honey moon.

upo sahihi
tuna kundi kubwa sana la wachezaji wenye viwango duni, no skills, no football brain jambo linalopelekea timu inapoingia uwanjani inakosa mipango madhubuti ya kumuathiri adui haijalishi tulipokuwa vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji wamejifunza mbinu zote za kumuathiri adui husika.
 
Manchester United Tactical Analysis: Solskjaer had a howler against Sheffield United

Sheffield United 3-3 Manchester United: Three things we learned

By Vinciane Ngomsi Nov 25, 2019, 8:00am GMT

Sheffield United v Manchester United - Premier League
Photo by Robbie Jay Barratt - AMA/Getty Images
Manchester United had just about five minutes left to secure all three points against Sheffield United in the Premier League on Sunday. However, a stoppage time equalizer from Oli McBurnie snatched that chance away and now Ole Gunnar Solskjaer’s men are facing yet another difficult battle to climb into the top four ahead of a decisive December schedule. The Blades hadn’t beaten the Red Devils in domestic competition since the first ever Premier League match in August 1992, and that’s perhaps one of few things United can savor after a disappointing afternoon. Here are three things we learned from Manchester United’s 3-3 draw against Sheffield United.
Play. The. Youths.
Fifty-two minutes into the second half, United went two goals down and were in desperate need of some magic. It wouldn’t happen until 20 minutes later, but what a spectacular volley it was by defender Brandon Williams to cut the deficit in half.
https://twitter.com/NBCSportsSoccer/status/1198662700320149510

Mason Greenwood, who came on as a sub at half-time for Phil Jones, found the back of the net just minutes later. The 18-year-old had scored for United in other competitions, but he finally opened his Premier League account with this beauty.
https://twitter.com/NBCSportsSoccer/status/1198663777107005440

Finally, academy superstar Marcus Rashford added to his goal tally this season with a left-footed finish to put United ahead.

360 people are talking about this

United have always lauded the success of their academy program, and this brilliant performance by three alums show why.
Midfield weakening with every match
Andreas Pereira had never looked so counterproductive on the pitch, making constant disappointment Fred look like a world-class midfielder. Rashford and Anthony Martial entered the match at full fitness, but weren’t able to capitalize on exhausting Sheffield’s defense early on because there was such an absence of skill from the aforementioned players. The first half at Bramall Lane was arguably one of United’s worst this campaign, with the squad only registering one shot on goal in 45 minutes.

The midfield’s poor form only summarizes how much of a let-down the summer transfer window was and how crucial the January transfer window will be. The irresponsibleness shown by Solskjaer and Ed Woodward is no longer something be overlooked, as it has affected United’s ability to exit several matches with three full points. Furthermore, it only shows how crucial Paul Pogba’s return will be. The Frenchman is likely to make his triumphant return ahead of the festive fixtures and wunderkid Scott McTominay won’t be far behind. No one is waiting with bated breath for Nemanja Matić to suit up, so replenishing the lost talent in the middle must be a top priority in the new year.
With Pochettino looming, Solskjaer must improve
Mauricio Pochettino’s sudden availability ignited more grumbling from the #OleOut horde. Unfortunately, Sunday’s result won’t quiet them for the time being. The Norwegian made a sound choice to substitute Phil Jones for Jesse Lingard at the break, showing supporters and critics he also recognized the Englishman’s failure to clear the ball which led to Sheffield’s opening goal.
Solskjaer improved on his substitutions in the 73rd minute, sending on the eventual goal-scorer Greenwood for Pereira. When United went up 3-2, it theoretically made sense to sub Martial for Axel Tuanzebe. That proved to be a costly error when McBurnie found the equalizer during stoppage time. United were in control of the match at that point and looked to be in position to score a decisive fourth goal. This decision by Solskjaer has been made before, and it points to how short-sighted the boss’ decision-making can be. Instead of playing offense for the final 10 minutes against a strong Sheffield side, he elected to instead drop back on defense knowing the defense was questionable throughout the entire match. With his job riding on how the Red Devils perform, Solskjaer must look to better his judgement before United lose any more costly points and he finds himself exiting Old Trafford around the same time José Mourinho did last December
 
Andreas Pereira had never looked so counterproductive on the pitch, making constant disappointment Fred look like a world-class midfielder. Rashford and Anthony Martial entered the match at full fitness, but weren’t able to capitalize on exhausting Sheffield’s defense early on because there was such an absence of skill from the aforementioned players. The first half at Bramall Lane was arguably one of United’s worst this campaign, with the squad only registering one shot on goal in 45 minutes.
laiti kama angelibakishwa Ander Herrera na baadae akaongezwa play maker mfano wa Bruno Fernandez nina uhakika hili tatizo la midfield tusingelikuwa na muda wa kulizungumzia.

scott + bruno + herrera
herrera + pogba + bruno
tumezipoteza lulu kwa makusudi
 
kwenye usajili mkuu tutalaumu sana makocha ila mwisho wa siku mwenye maamuzi ya mwisho ni huyo jamaa unakumbuka tetesi za Bruno na pass accuracy asilimia 75? unafikiri nani ameamua hivyo? jopo letu la usajili lipo hovyo sana, kuna nyepesi nyepesi jamaa mmoja insider anaclaim msimu huu kuna mchezaji right back top player kutoka top club (probably Munier wa psg) alikuja Man utd akakutana na Matt judge, jamaa ni clue less kabisa kaanza kumuuliza unaitwa nani, umecheza timu gani na appearence ngapi? agent wake akakasirika na kumuambia mapokezi waliyopata spurs. source ya video hii hapa dakika 5 za mwanzo video ni ndefu sana
katika ubora wako brother,
hiyo video nitaiangalia japo baadae ili nipate kujifunza zaidi yalio nyuma ya pazia.
acha nijaribu kuchangia hiyo ishu ya right back top player ambaye inasadikika ni thomas mounier na kama itakuwa sipo sahihi naomba unirekebishe kwa mara nyengine tena.

thamani ya wan bissaka ni paundi millioni 50
thamani ya tripper ni paundi millioni 20 kuelekea atletico.
thamani ya thomas mounier inakadiriwa ilikuwa ni 15-30 millioni pound.

kwa fikra zangu mimi zilizojaa udhaifu kwenye dili hili ningeliangalia mambo makuu matatu ambayo ni umri wa mchezaji husika, kiwango chake na thamani yake ya kumnunua.
kwa kuziangalia factors hizo basi thomas mouneir angelifaa zaidi kusajiliwa kuliko trippier au wan bissaka kwa sababu umri wake ni 27, kiwango chake ni bora ukilinganisha na hao wengine na pia thamani yake ni ndogo.

kama matt judge alipuuzia dili la thomas mounier basi kuna uwezekano mkubwa tayari bwana matt alishapelekewa jina rasmi la mchezaji anayehitajika na benchi la ufundi likiongozwa na OGS na si mwengine ni wan bissaka.

kwa dili hili la right back sidhani kama ni sahihi kumuangushia mzigo wa lawama bwana matt judge,
ed na matt wanaifahamu vizuri sana fedha na sidhani kama wangelifanya maamuzi haya ya kulipa 50 millioni badala ya 25 million kwa huduma hiyo hiyo.
 
U mr yes man wa Ole utamcost kazi yake mwenyewe sidhani kama Ole ataendelea kuwa na matokeo mabovu namna hii sidhani kama shekhe Woodward ataendelea kumvumilia

Back
Top Bottom