Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,827
- 32,703
Mbona Amad hakupata na wote walikuwepo uwanjani ?Alikuwepo Mkuu... Naongela chances ambazo Garnacho alizikosa
Mbona Amad hakupata na wote walikuwepo uwanjani ?Alikuwepo Mkuu... Naongela chances ambazo Garnacho alizikosa
Bado uko obssessed na kufukuzwa kwa Mourinho ?2nd season at Man United...
Erik Ten Hag:
• 8th place (worst ever)
• 60 PL points (second worst ever)
• -1 gd (worst ever)
• 14 PL defeats (worst ever)
José Mourinho:
• 2nd place
• 81 PL points (best post SAF)
• +40 gd (best post SAF)
• 19 clean sheets (best post SAF)
Usiishi kwa wishful thinking mkuuSahihi! Bruno, Rashy, Shaw, Casa Hawa wakati Mzuri kuwauza. Rashy amesaini mkataba Mpaka 2028 na kwa wiki anachukua 375k + Bonus, Casa anachukua 450k + Bonus, Ukiangalia Wastani wa Umri wao na Unataka tengeneza timu wote ni wa Kuondoa.
Hojlund, Mainoo, Licha, Garnancho, na Kiasi flani Onana, Dalot, Mount, Amad unaweza ukaanzia. Ingawa Dalot na Garnacho Kuanza kila Game sio. Wafunike Kombe warudishe Greenwood & Sancho. {Hawa Waloyapitia watapunguza ule "UFAZA" wa Kiingereza}
UTD kiuhalisia hamna namna yeyote inaweza Piga hatua kuendelea kuwa na Hili kundi la Wachezaji.Usiishi kwa wishful thinking mkuu

More on Vincent Kompany and FC Bayern story revealed earlier today.Hata wangemuita ningemshangaa sana Southgate.Bwana Rashford haamini kama katemwa Euro na madogo kibao wameitwa over yeye, hii iwe wake up call yake, akilegea kuja kurudi itamchukua muda sana. Kuna madogo pale England wanakiwasha sana
Wamtoe Saka hapo wamuache kijana apumzike kidogo. Kwanza tayari ana injury.Hata wangemuita ningemshangaa sana Southgate.
Una
SAKA
FODEN
STERLING
PALMER
na yule dogo wa Newcastle HuYU fala aende euro kufanya nini? Kimsingi kuna wachezaji wengi wazuri kuliko yeye kwenye ile namba labda wamuite kwa mazoea tu kama 10Hag alivyomzoesha tayari.
United ipo hapo ilipo sababu ya kima kama yeye.
Shati ni Allison, kapigwa za kutosha tu mpaka mmepoteana kwenye ubingwa.Uwezo wa kumfunga city mnao. Tatizo pale golini kwenu kuna shati. Akikaa kipa wa kueleweka hii game mnashinda. Tafuteni kipa wa kueleweka
Ndio maana tunamuuza uarabuni. Na nyie mumfukuze OnanaShati ni Allison, kapigwa za kutosha tu mpaka mmepoteana kwenye ubingwa.
Ngoja tuone kama mtauza, sisi hatufukuzi wala hatuuzi. Na mmeleta huyo Tenhag version 2, kazi mnayo kwa hiyo pambana na team yako mkuu.Ndio maana tunamuuza uarabuni. Na nyie mumfukuze Onana
INTER MILAN Walimharibiaga sana huyu Mzee, Cha ajabu Sababu kubwa anasemaga alitaka anzisha Mfumo wa Beki 3 wa Kati! Tangu hapo Timu zinamchukulia Poa ila Ni mtu Na Nusu. Walimfukuza Mwanzo wa msimu kabisaDunia haimpi heshima kubwa huyu mzee