Kwa kumbukumbu zangu Joao Felix ni mrithi wa Griezman (goli moja kwa karibu nusu msimu kwa namba 10 ni chache sana)

Na kumbukumbu zangu zinaniambia, Greenwood amekuwa akichezeshwa pembeni zaidi kuliko katikati (nafasi ya striker)

Na hapo mmoja kacheza dakika 800 na mwingine mwenye goli chache kacheza dakika 300

Nashauri tu, tuvithamini vya kwetu
Joao Felix alipatwa na majeraha halafu Joao felix ni attacking midfielder wakati Greenwood ni striker.
 
hata mimi siku niliomuona pale atletico nilizidi kushangazwa na thamani yake.
dogo bado ni mwepesi sanaaa.
watengenezaji wa video pale youtube wanatuuzia uhuni.
sasa nimeelewa kwa nini makocha na wasaka vipaji wanakwenda uwanjani kushuhudia mechi
 
Kama mkuu Mc cane alivyosema kwa anavyochezeshwa Greenwood Man U mwingi ni Attacking midfield, anatokea zaidi upande wa kulia.

Na strength za felix sio nguvu ama urefu ama attributes nyengine za midfielder bali ni creativity na ufungaji wa Magoli. Jamaa vitu vyengine yupo average hata pass accuracy zake hazijawahi fika asilimia 80.
 
Joao Felix anachezeshwa pembeni kama wing ya kulia au nyuma ya twin strikers yaani Morata na Costa.

Hivyo lazima impact yake iwe reduced kwenye kufunga.

After all sijasema Greenwood ni mbaya nachotaka kusema wote kwa hizo stats siyo mbaya sana kwao.
Kwa kumbukumbu zangu Joao Felix ni mrithi wa Griezman (goli moja kwa karibu nusu msimu kwa namba 10 ni chache sana)

Na kumbukumbu zangu zinaniambia, Greenwood amekuwa akichezeshwa pembeni zaidi kuliko katikati (nafasi ya striker)

Na hapo mmoja kacheza dakika 800 na mwingine mwenye goli chache kacheza dakika 300

Nashauri tu, tuvithamini vya kwetu
 
Watoto watakaotuwakilisha leo
manchesterunited___B5aaTe5o3Nz___.jpeg
 
Hakika ila ni very creative sana tena sana
Kama mkuu Mc cane alivyosema kwa anavyochezeshwa Greenwood Man U mwingi ni Attacking midfield, anatokea zaidi upande wa kulia.

Na strength za felix sio nguvu ama urefu ama attributes nyengine za midfielder bali ni creativity na ufungaji wa Magoli. Jamaa vitu vyengine yupo average hata pass accuracy zake hazijawahi fika asilimia 80.
 
Nilipunguza kuamini highlights baada ya usajili wa mikhitarian

Naendelea kuziangalia ili nipate mwanga kuhusu wachezaji, lakini evaluation yangu haiwezi ku base entirely kwa kuangalia YouTube highlights

Back
Top Bottom