Screenshot_20191128-190441_Live%20Football%20TV.jpeg
 
laiti kama angelibakishwa Ander Herrera na baadae akaongezwa play maker mfano wa Bruno Fernandez nina uhakika hili tatizo la midfield tusingelikuwa na muda wa kulizungumzia.

scott + bruno + herrera
herrera + pogba + bruno
tumezipoteza lulu kwa makusudi
Ole amecheza kamari za kishamba kabisa..

√mimi nastick tu kwa Lukaku..hivi kwa nini alimuuza bila ya kuwa na replacement ambayo ipo tayari??..Jibu ni simple tu,,nia yake ni kuwapa nafasi Martial,Rashford,James,kitu ambacho kocha anayejielewa asingeweza kufanya kwa kuangalia tu takwimu na hawa vijana kwa misimu iliyopita
 
Back
Top Bottom