OGS kama kocha ana matatizo mengi sana na kilichomsaidia kuwepo mpaka leo ni yeye ni Manchester United legend,he was cheap option and he is yes man.We know United imekuwa na average players kutokana na poor structure kwenye usajili but as time go hata hao average players walionekana ni afadhali huko nyuma.Lingard ni mbovu but alikuwa very productive kwa LVG & Mourinho now hafai hata kuwepo kwenye match squad,mpira tunaocheza hauna tofauti na wale makocha waliotimuliwa na stats za matokeo anazopata ni za kufukuzwa
Amekuwa kwenye timu ni almost mwaka now na alienda pre-season na team lakini so far ni ngumu sana hata kujua philosophy yake ni ipi na haijulikani so far anaijengaje hiyo team haya ya wachezaji kutosajiliwa kila kocha post SAF era ameyapitia .Defence ime-improve kidogo kwa kusajili quality players (credit to him) but nilisema one day hata hao wachezaji tutaanza kuwalaumu na tayari tumeshaanza
Another problem ambalo tangu amekuja limetokea ni majeruhi hata wewe umeliona(Pogba,Tuanzebe,Martial,Matic,Dalot na wale wa miaka yote Shaw,Baily,Rojo wameendelea na majeruhi yao
Lvg alikuwa na majeruhi Wengi kuliko hata Ole msimu wa kwanza tulipata majeruhi hadi 39, Even carrick mchezaji ambae alikuwa kila msimu anamaliza mechi zote akawa ni pancha.
Same kwa mourinho kina Baily, Herrera, martial na wengine wengi mechi 1 uwanjani nyengine majeruhi, japo kipindi chake kulikuwa na ka uafadhali fulani ila still ilikuwa ni majanga kwa majeruhi, same kwa ole history inaendelea, hili ni tatizo la muda mrefu lililojichimbia mizizi.
Kuhusu mfumo mimi naamini ole si mjinga kuacha mfumo wake uliompa ushindi mfululizo issue ni kwamba hana wachezaji tena wa kucheza huo mfumo tangu Herrera aondoke. Mfumo wetu wa sasa 4-2-3-1 pia tunaonekana tuna mapengo hasa no 10 na wing ya kulia na striker incase katika wachezaji wetu tunaowategemea mmoja anaumia.
Na philosophy yake mbona inajionyesha mkuu na tactic wise amethibitisha ubora wake against top teams zote msimu huu, chelsea mara 2, Liverpool, Arsenal wote tuliwazidi maarifa kimchezo tatizo letu tunakosa tu uzoefu wa kumaliza mechi tunapoongoza.
Philisophy ya ku press, counter, kupromote academy, kuhakikisha opponents hawatukimbizi zaidi yetu, attitude na discipline kwa wachezaji etc
Na kama unakumbuka mwanzo wa msimu tulikuwa hatufungi magoli mengi ila mechi nyingi kama Norwich, brighton, Europa, sheffield etc tunafunga Goli 3
Tumpe ole muda hata kama hatachukua hayo makombe angalau atajenga timu na Kumtengenezea njia kocha anayekuja.