M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,699
- 117,152
kwa mujibu wa ratiba mwezi wa december utakuwa ni mgumu sana kwake.U mr yes man wa Ole utamcost kazi yake mwenyewe sidhani kama Ole ataendelea kuwa na matokeo mabovu namna hii sidhani kama shekhe Woodward ataendelea kumvumilia
jambo linaloleta matumaini kiupande wetu ni kutokupoteza mechi kubwa yeyote tuliocheza msimu huu.
aston villa + tottenham + man city + everton + wattford