Jones boya sana aisee
r32gkrau50141.jpg

jembe linafurahisha sana, offside trap
 
Uzuri wake Zonal marking yuko vizuri ndiyo maana pamoja na kwamba anashambulia sana bado anaweza kufanya zonal marking vizuri kuliko Bissaka ambaye yuko vizuri kwenye one against one situation tu.

Ndiyo maana Mourinho alimprefer Dalot kwa sababu Mou anaprefer Zonal marking kuliko one against one, kwangu mimi naamini Dalot akiwa fit Bissaka atachoma mahindi.
Bissaka hachomi hindi
 
paulo dyabala: hakuwa na msimu mzuri sana mwaka uliopita jambo ambalo lilipelekea ajikute akiwa katika hali ya sintofahamu juu ya mustakabali wake pale juventus .pia mwanzoni mwa msimu huu pia alijikuta akiwa kwenye list ya wachezaji wasiokuwa kwenye mipango ya mwalimu sarri masigara na uthibitisho wa hilo ni kitendo cha klabu ya juventus na manchester united kuwa tayari kufanya dili la mabadilishano ya wachezaji, pia baadae ilijitokeza klabu ya tottenham ambayo ilionyesha nia ya dhati ya kumhitaji paulo lakini dili lake kwa mara nyengine tena lilikwama kwa sababu yenye kufanana na dili la mwanzoni.
leo hii paulo dyabala amekuwa mchezaji muhimu sana ndani ya kikosi cha juventus na uwepo wake umeanza kutishia uhai wa mabwana wakubwa.

real madrid: mwaka jana hawakuwa na msimu mzuri sana kuanzia michuano ya uefa hadi la liga, dirisha la usajili lilipowadia walijikuta wakiingia sokoni kwa nguvu kubwa kwa dhumuni la kuimarisha kikosi chao kinachonolewa na fundi wa mpira zizou anayeifahamu kiundani real madrid. kuanzia mechi za kirafiki hadi kuanza kwa michuano tofauti klabu hiyo ya real madrid walikuwa wanacheza ovyo sana jambo lililowawia vigumu kupata ushindi kwa baadhi ya mechi, kufanya vibaya kwa real madrid kulipelekea kuanza kwa uvumi wa kutafutwa mrithi wa zidane pindi klabu itakapoamua kumtupia virago,

lakini ukizifuatilia mechi chache zilizopita za real madrid utagundua klabu hiyo imeanza kuimarika sana kiuchezaji (team work) na hata mwalimu ameshafanikiwa kuwafahamu wachezaji wake kiundani. kwa nilichokishuhudia kama madrid na zidane wataendelea kufanya kazi kwa bidii nina uhakika msimu huu watacheza robo au nusu fainali ya champions league. Adui mkubwa wa madrid atakuwa ni liverpool na manchester city na si barcelona hii ya griezmann.

tottenham hotspurs na wolverhampton: situations zao pia zinafanana kwa namna fulani, hawa wolves walianza vibaya sana kwenye ligi kuu ya uingereza na wengi wetu tukaamini jamaa ni nguvu za soda lakini kwa sasa wameanza kurudisha ubora wao ule tulioushuhudia msimu uliopita na kwa sasa wametupita kwa alama mbili.

kuhusu tottenham hotspurs licha ya kufika fainali msimu uliopita lakini timu hii ilijikuta ikipata alama chache sana kwenye ligi kuu ya uingereza kuanzia mwaka 2019, matokeo mabaya yaliyoendelea tena kwa msimu huu yalipelekea kufanyika kwa mageuzi ya mwalimu, japokuwa ni mapema lakini naamini kinachotokezea kwa real madrid na pia kwa paul dyabala kwa nyakati hizi ndicho kinachokwenda kutokezea kwa tottenham hii ya jose mourinho,

tottenham hotspurs wanahama rasmi kwenye ule mfumo wao wa kucheza mpira wa wazi unaokosa mbinu mbadala pindi wanapokutana na timu bora zaidi yao na hatimaye rasmi wanahamia kwenye soka la mbinu zaidi kuliko ubora wenye kuambatana na uhuru wa wachezaji wakiwa ndani ya uwanja.
kwa wale wanaopenda matokeo huu ni wakati sahihi wa kushabikia tottenham hotspurs ila kwa wale fans waliozoea mpira laini wenye burudani basi huu ni wakati sahihi wa kutafuta timu nyengine ya kushabikia.

manchester united : hii ndio target yangu, tumepitia changamoto zote walizopitia timu nyenginezo nilizozitaja hapo juu, tumeendelea kutumia fedha nyingi za usajili, tumebadili mwalimu, tunawapa nafasi vijana kama wafanyavyo madrid, baadhi ya nyakati tunajitutumua kwa wiki mbili baadae tunarudi chini, tumekuwa na kiwango kisichoeleweka na hatujui sababu rasmi ni ipi, wengine tunasema tatizo ni mwalimu, wengine wanawanyooshea vidole wachezaji na wengine tunawanyooshea vidole matajiri

je na sisi tutainuka kama real madrid hii nilioishuhudia siku chache zilizopita bila ya kumtimua mwalimu?
wachezaji kama perreira, fred, lindeloff, lingard wanaleta matumaini ya kwamba siku moja watakuwa tegemeo kwenye kikosi chetu kama ilivyo kwa dyabala huyu wa mechi zilizopita?
au tumfukuze mwalimu kama spurs ndipo tutainuka?

lakini msimu uliopita tulimfukuza mwalimu tukafanya vizuri sana miezi mitatu ya mwanzo lakini baada ya hapo sherehe za honeymoon zikamalizika, je kama tutamuondoa mwalimu tuna uhakika gani wa furaha yetu ya kupata ushindi kuendelea kudumu kwa muda mrefu kama tunavyoshuhudia upande wa wapinzani wetu wa jadi (liverpool)
 
hivi bado munaendelea kujificha kwenye kivuli cha mchicha?
Mimi bado nashikilia msimamo wangu wa toka mwezi june mpaka August kuwa kipindi kile ndiyo kilikuwa defining moment ya Man united ya sasa.

Kosa kubwa la mwalimu wa man united lilikuwa nikutokujua timu yenye hadhi ya man united inahitaji makombe na siyo top four or top six sport.

Mwalimu Ole alishindwa kutambua kuwa alikuwa kwenye ligi ngumu yenye ushindani mkubwa sana na hivyo alihitaji rejuvinationa kubwa sana kwenye kikosi chake.

Pengine Ole pia hakufanya study ya kutosha juu ya quality ya squad yake badala yake akaamua kubahatisha tu kama vile yuko kwenye ligi za mchangani huko Norway.

Matokeo mabovu ya sasa ya man united yanachangiwa na mambo kadhaa.
1 Squad depth kiasi injury ya mchezaji mmoja tu kunaathiri timu nzima na matokeo ya timu nzima, au kuporomoka kwa mchezaji mmoja kiwango basi kunaathiri timu nzima maana hakuna machaguo mengi.

2 wachezaji wengi waliopo kwenye timu kuwa na viwango vibovu mno hasa katika ufundi, ubunifu na nguvu kikosi cha man united katika top six nafikiri ndiyo timu pekee ambayo matokeo yake mengi hayaamuliwi na individual brilliance za wachezaji uwanjani.

3 mbinu hafifu za mwalimu hili sihitaji kutoa maelezo mengi sote tunajua mbinu za mwalimu wetu huyu ni za kubahatisha tu.

4 Uongozi wa united kupwaya sana katika mambo mengi yanayohusu football management.

Kama mambo yataendelea kuwa hivi sidhani kama man united itakuwa title contender kwa miaka mitatu ijayo.
 
E
paulo dyabala: hakuwa na msimu mzuri sana mwaka uliopita jambo ambalo lilipelekea ajikute akiwa katika hali ya sintofahamu juu ya mustakabali wake pale juventus .pia mwanzoni mwa msimu huu pia alijikuta akiwa kwenye list ya wachezaji wasiokuwa kwenye mipango ya mwalimu sarri masigara na uthibitisho wa hilo ni kitendo cha klabu ya juventus na manchester united kuwa tayari kufanya dili la mabadilishano ya wachezaji, pia baadae ilijitokeza klabu ya tottenham ambayo ilionyesha nia ya dhati ya kumhitaji paulo lakini dili lake kwa mara nyengine tena lilikwama kwa sababu yenye kufanana na dili la mwanzoni.
leo hii paulo dyabala amekuwa mchezaji muhimu sana ndani ya kikosi cha juventus na uwepo wake umeanza kutishia uhai wa mabwana wakubwa.

real madrid: mwaka jana hawakuwa na msimu mzuri sana kuanzia michuano ya uefa hadi la liga, dirisha la usajili lilipowadia walijikuta wakiingia sokoni kwa nguvu kubwa kwa dhumuni la kuimarisha kikosi chao kinachonolewa na fundi wa mpira zizou anayeifahamu kiundani real madrid. kuanzia mechi za kirafiki hadi kuanza kwa michuano tofauti klabu hiyo ya real madrid walikuwa wanacheza ovyo sana jambo lililowawia vigumu kupata ushindi kwa baadhi ya mechi, kufanya vibaya kwa real madrid kulipelekea kuanza kwa uvumi wa kutafutwa mrithi wa zidane pindi klabu itakapoamua kumtupia virago,

lakini ukizifuatilia mechi chache zilizopita za real madrid utagundua klabu hiyo imeanza kuimarika sana kiuchezaji (team work) na hata mwalimu ameshafanikiwa kuwafahamu wachezaji wake kiundani. kwa nilichokishuhudia kama madrid na zidane wataendelea kufanya kazi kwa bidii nina uhakika msimu huu watacheza robo au nusu fainali ya champions league. Adui mkubwa wa madrid atakuwa ni liverpool na manchester city na si barcelona hii ya griezmann.

tottenham hotspurs na wolverhampton: situations zao pia zinafanana kwa namna fulani, hawa wolves walianza vibaya sana kwenye ligi kuu ya uingereza na wengi wetu tukaamini jamaa ni nguvu za soda lakini kwa sasa wameanza kurudisha ubora wao ule tulioushuhudia msimu uliopita na kwa sasa wametupita kwa alama mbili.

kuhusu tottenham hotspurs licha ya kufika fainali msimu uliopita lakini timu hii ilijikuta ikipata alama chache sana kwenye ligi kuu ya uingereza kuanzia mwaka 2019, matokeo mabaya yaliyoendelea tena kwa msimu huu yalipelekea kufanyika kwa mageuzi ya mwalimu, japokuwa ni mapema lakini naamini kinachotokezea kwa real madrid na pia kwa paul dyabala kwa nyakati hizi ndicho kinachokwenda kutokezea kwa tottenham hii ya jose mourinho,

tottenham hotspurs wanahama rasmi kwenye ule mfumo wao wa kucheza mpira wa wazi unaokosa mbinu mbadala pindi wanapokutana na timu bora zaidi yao na hatimaye rasmi wanahamia kwenye soka la mbinu zaidi kuliko ubora wenye kuambatana na uhuru wa wachezaji wakiwa ndani ya uwanja.
kwa wale wanaopenda matokeo huu ni wakati sahihi wa kushabikia tottenham hotspurs ila kwa wale fans waliozoea mpira laini wenye burudani basi huu ni wakati sahihi wa kutafuta timu nyengine ya kushabikia.

manchester united : hii ndio target yangu, tumepitia changamoto zote walizopitia timu nyenginezo nilizozitaja hapo juu, tumeendelea kutumia fedha nyingi za usajili, tumebadili mwalimu, tunawapa nafasi vijana kama wafanyavyo madrid, baadhi ya nyakati tunajitutumua kwa wiki mbili baadae tunarudi chini, tumekuwa na kiwango kisichoeleweka na hatujui sababu rasmi ni ipi, wengine tunasema tatizo ni mwalimu, wengine wanawanyooshea vidole wachezaji na wengine tunawanyooshea vidole matajiri

je na sisi tutainuka kama real madrid hii nilioishuhudia siku chache zilizopita bila ya kumtimua mwalimu?
wachezaji kama perreira, fred, lindeloff, lingard wanaleta matumaini ya kwamba siku moja watakuwa tegemeo kwenye kikosi chetu kama ilivyo kwa dyabala huyu wa mechi zilizopita?
au tumfukuze mwalimu kama spurs ndipo tutainuka?

lakini msimu uliopita tulimfukuza mwalimu tukafanya vizuri sana miezi mitatu ya mwanzo lakini baada ya hapo sherehe za honeymoon zikamalizika, je kama tutamuondoa mwalimu tuna uhakika gani wa furaha yetu ya kupata ushindi kuendelea kudumu kwa muda mrefu kama tunavyoshuhudia upande wa wapinzani wetu wa jadi (liverpool)

hivi bado munaendelea kujificha kwenye kivuli cha mchicha?
Edwood ni mcheza kamari mkubwa , kumpa kandarasi ya kudumu Ole ndo gambling kubwa zaidi aliyowah kucheza
 
lakini nyakati zile wengi wetu tuliamini ole anastahili kupewa kandarasi mpya hususani baada ya kubadili matokeo kule paris kwa kutumia kikosi dhaifu.

hata kama ingelikuwa ni wewe ndiyo upo nafasi ya ed woodward jamii ya manchester united ingelikuona ni mpinga maendeleo kama ungelikataa kumpa kandarasi ya kudumu bwana ole.
 
Pengine Ole pia hakufanya study ya kutosha juu ya quality ya squad yake badala yake akaamua kubahatisha tu kama vile yuko kwenye ligi za mchangani huko Norway.
nadhani tatizo kuu linaanzia hapa na hata mimi nakubaliana na wewe kwamba jamaa hakufanya upembuzi yakinifu, inawezekana aliamini kwa kikosi alicho kirithi ukiongezea na maingizo mapya na wahitimu wa academies basi ana uwezo wa kuleta ushindani mkubwa sana kwenye top 4.

kuna sehemu nimesoma nimeona gary neville anasema klabu inapaswa iongeze wachezaji watano wapya nikabaki kucheka, nikikumbuka kejeli na dharau zao walizozionyesha kwa walimu waliopita pindi walipojaribu kuzungumzia udhaifu wa timu yetu eti leo hii kwa kuwa rafiki yao ndio bosi mkuu wa timu wanamtetea kwa hoja zile zile walizozipinga mwanzoni.

They need another centre back, they need a left-back and a couple of central midfielders and a striker or a forward. ‘That’s not going to change and won’t change entirely even after January. But there’s something there.’

mshambuliaji(lukaku) ameuzwa na OGS.
midfield wawili (fellaini na herrera) wameondolewa na OGS bila ya kutafuta wengine
 
wachezaji wengi waliopo kwenye timu kuwa na viwango vibovu mno hasa katika ufundi, ubunifu na nguvu kikosi cha man united katika top six nafikiri ndiyo timu pekee ambayo matokeo yake mengi hayaamuliwi na individual brilliance za wachezaji uwanjani.
upo sahihi
tuna kundi kubwa sana la wachezaji wenye viwango duni, no skills, no football brain jambo linalopelekea timu inapoingia uwanjani inakosa mipango madhubuti ya kumuathiri adui haijalishi tulipokuwa vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji wamejifunza mbinu zote za kumuathiri adui husika.
 
Kocha yeyte mwenye akli timamu, narudia tena mwenye akli timamu hawez mwacha Tominay na kuchezesha mlingoti Pogba, Tominay anaskiliza sana maelekezo ya mwalimu na ni mpambanaji... Pogba anategemea Sana defesinve medifilider wapoje ili wamlishe afanye madoido
Ndio maana kuna viungo walinzi na viungo washambuliaji/wachezeshaji. Sasa wewe unataka Pogba acheze namba sita? na kwanini akiwa mzima pamoja na unamuita mlingoti lakini hakai benchi?
 
paulo dyabala: hakuwa na msimu mzuri sana mwaka uliopita jambo ambalo lilipelekea ajikute akiwa katika hali ya sintofahamu juu ya mustakabali wake pale juventus .pia mwanzoni mwa msimu huu pia alijikuta akiwa kwenye list ya wachezaji wasiokuwa kwenye mipango ya mwalimu sarri masigara na uthibitisho wa hilo ni kitendo cha klabu ya juventus na manchester united kuwa tayari kufanya dili la mabadilishano ya wachezaji, pia baadae ilijitokeza klabu ya tottenham ambayo ilionyesha nia ya dhati ya kumhitaji paulo lakini dili lake kwa mara nyengine tena lilikwama kwa sababu yenye kufanana na dili la mwanzoni.
leo hii paulo dyabala amekuwa mchezaji muhimu sana ndani ya kikosi cha juventus na uwepo wake umeanza kutishia uhai wa mabwana wakubwa.

real madrid: mwaka jana hawakuwa na msimu mzuri sana kuanzia michuano ya uefa hadi la liga, dirisha la usajili lilipowadia walijikuta wakiingia sokoni kwa nguvu kubwa kwa dhumuni la kuimarisha kikosi chao kinachonolewa na fundi wa mpira zizou anayeifahamu kiundani real madrid. kuanzia mechi za kirafiki hadi kuanza kwa michuano tofauti klabu hiyo ya real madrid walikuwa wanacheza ovyo sana jambo lililowawia vigumu kupata ushindi kwa baadhi ya mechi, kufanya vibaya kwa real madrid kulipelekea kuanza kwa uvumi wa kutafutwa mrithi wa zidane pindi klabu itakapoamua kumtupia virago,

lakini ukizifuatilia mechi chache zilizopita za real madrid utagundua klabu hiyo imeanza kuimarika sana kiuchezaji (team work) na hata mwalimu ameshafanikiwa kuwafahamu wachezaji wake kiundani. kwa nilichokishuhudia kama madrid na zidane wataendelea kufanya kazi kwa bidii nina uhakika msimu huu watacheza robo au nusu fainali ya champions league. Adui mkubwa wa madrid atakuwa ni liverpool na manchester city na si barcelona hii ya griezmann.

tottenham hotspurs na wolverhampton: situations zao pia zinafanana kwa namna fulani, hawa wolves walianza vibaya sana kwenye ligi kuu ya uingereza na wengi wetu tukaamini jamaa ni nguvu za soda lakini kwa sasa wameanza kurudisha ubora wao ule tulioushuhudia msimu uliopita na kwa sasa wametupita kwa alama mbili.

kuhusu tottenham hotspurs licha ya kufika fainali msimu uliopita lakini timu hii ilijikuta ikipata alama chache sana kwenye ligi kuu ya uingereza kuanzia mwaka 2019, matokeo mabaya yaliyoendelea tena kwa msimu huu yalipelekea kufanyika kwa mageuzi ya mwalimu, japokuwa ni mapema lakini naamini kinachotokezea kwa real madrid na pia kwa paul dyabala kwa nyakati hizi ndicho kinachokwenda kutokezea kwa tottenham hii ya jose mourinho,

tottenham hotspurs wanahama rasmi kwenye ule mfumo wao wa kucheza mpira wa wazi unaokosa mbinu mbadala pindi wanapokutana na timu bora zaidi yao na hatimaye rasmi wanahamia kwenye soka la mbinu zaidi kuliko ubora wenye kuambatana na uhuru wa wachezaji wakiwa ndani ya uwanja.
kwa wale wanaopenda matokeo huu ni wakati sahihi wa kushabikia tottenham hotspurs ila kwa wale fans waliozoea mpira laini wenye burudani basi huu ni wakati sahihi wa kutafuta timu nyengine ya kushabikia.

manchester united : hii ndio target yangu, tumepitia changamoto zote walizopitia timu nyenginezo nilizozitaja hapo juu, tumeendelea kutumia fedha nyingi za usajili, tumebadili mwalimu, tunawapa nafasi vijana kama wafanyavyo madrid, baadhi ya nyakati tunajitutumua kwa wiki mbili baadae tunarudi chini, tumekuwa na kiwango kisichoeleweka na hatujui sababu rasmi ni ipi, wengine tunasema tatizo ni mwalimu, wengine wanawanyooshea vidole wachezaji na wengine tunawanyooshea vidole matajiri

je na sisi tutainuka kama real madrid hii nilioishuhudia siku chache zilizopita bila ya kumtimua mwalimu?
wachezaji kama perreira, fred, lindeloff, lingard wanaleta matumaini ya kwamba siku moja watakuwa tegemeo kwenye kikosi chetu kama ilivyo kwa dyabala huyu wa mechi zilizopita?
au tumfukuze mwalimu kama spurs ndipo tutainuka?

lakini msimu uliopita tulimfukuza mwalimu tukafanya vizuri sana miezi mitatu ya mwanzo lakini baada ya hapo sherehe za honeymoon zikamalizika, je kama tutamuondoa mwalimu tuna uhakika gani wa furaha yetu ya kupata ushindi kuendelea kudumu kwa muda mrefu kama tunavyoshuhudia upande wa wapinzani wetu wa jadi (liverpool)

hivi bado munaendelea kujificha kwenye kivuli cha mchicha?
Hebu Tu assume ole amepewa target zake zote
1. Hio namba 10 badala ya kucheza lingard ama perreira angekuwa dybala
2. Striker angekuja kama alivyotaka
3. Midfield angekuja pia mechi kama ya Shefield tusimchezeshe perreira midfield.
4. Winga wa kulia.

Je timu yetu ingekuwa wapi sasa hivi.

Niwakumbushe tu mashabiki wenzangu wa Man U matatizo ya msimu uliopita.
1. Timu zilikuwa zinatukimbiza tulikuwa tunashika nafasi ya 18 linapokuja suala la kukimbia uwanjani ila sasa hivi tunakubaliana hili tatizo limetatulika mechi nyingi tunawazidi wapinzani.

2. Tulikuwa na tatizo la beki, sasa hivi hali ime improve zaidi japo bado tatizo lipo hasa upande wa kushoto ila kulia na kati tupo njema.

3. Mishahara mikubwa,

4.umoja wa kitimu, ni nadra sasa hivi kukuta kuna tatizo dressing room, wachezaji wote ni kitu kimoja na unawaona wanakuwa kitimu zaidi.

Hivyo ole anaisuka timu mimi bado nina imani nae na naamini ni mtu sahihi kuwa pale, sababu pekee ambayo nitakubaliana nayo kwamba ole aondoke ni kama Ed ataachia ngazi aje DOF wa michezo na Alete kocha wake atakaefanya kazi, bila Hivyo akiondoka Ole hata aje nani tunarudia tu cycle ya Moyes, LVG, Mou.

Tatizo pekee ambalo naona Ole nae linamshinda ni majeruhi, Toka Moyes atutimulie Jopo letu la wataalamu majeruhi man U ni wengi sana, tumekuwa kama Arsenal.
 
Back
Top Bottom