Pogba uwezo wa kufunga mkubwa sana mkuu, Iniesta alikuwa anaweza sana kutoa assist lakini kwa Pogba Iniesta bado sema of course Iniesta ni moja ya Midfielders wakubwa waliowahi kucheza soka la kulipwa
sitaacha kuichukia Man u kama navyoichukia CCM kwamba inesta unataka kumfananisha na pogba ambae kazidiwa hadi na marehemu Jeba aliyefariki juzi tu apo.
 
radika bado vipi umeona tunakoenda ?
Msimu tunaweza kupoteza 1/3 mechi zote za ligi timu haitengenezi nafasi nyingi za kufunga magoli hata chache wanazotengeneza hawazitumii mpaka wapate penalty majanga

Tusiposhuka daraja basi shetan la united linafanya kazi maana mech za away huyu bwana mdogo hana ujanja nazo kabisa yaani
 
6 games 2 win 2 draws 2 loose bado unaiamini hii timu ?
ingawa kuna mashabiki wanaiponda sana timu humu..... Nimegundua hawaangalii pre-season game yote wakajua timu inachezaje.... Huwezi niambia eti inter waliizidi united wakati kikosi cha kwanza na chapili katika ile game kiliizidi inter hadi kupossess mpira......

United unaelekea sehemu sahihi Nimeangalia pre - season ya Leo pia timu inaenda mahala sahihi, na tutafanya vizuri msimu ujao, timu yetu wachezaji wote 23 waliocheza hizi Mechi 2 wamekuwa wakielewana Sana na spirit ya timu ipo juu sana....

Unaposema it's just pre season mbona kipindi cha Mourinho akat Tunafungwa na Liverpool ulilalama kuwa kwanini hata pre season tunashindwa kushinda..... so naiman timu yetu inaenda kufanya vizuri sana msimu huu ...save my comment
 
Back
Top Bottom