ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Aje nani mama sasa
Iam so so confused. Ole out.
Iam so so confused. Ole out.
Hata kama. Ila siyo cha kufungwa na Aston Villa bwana.Kikosi kibovu unacomplain...!!!??
Hata kama. Ila siyo cha kufungwa na Aston Villa bwana.
wakati sisi tutakapokuwa tunaendelea kujenga timu kwa misimu mitatu hivi wapinzani wetu wao watakuwa wapo usingizini?
je manchester city na waarabu wao watakuwa hawana fedha ya kutafuta wachezaji wenye vipaji ambao wameshatengenezwa?
hivi chelsea na tajiri wao bado watakuwa kifungoni?
hivi spurs watakuwa wameshawauza wachezaji wao wote mahodari?
vipi kuhusu liverpool je watarudi tena kama ilivyokuwa miaka 26 nyuma?
tusidanganyane kwa jinsi mpira ulivyojaa ushindani nyakati hizi suala la kununua wachezaji waliokwisha thibitisha uwezo wao huko wanakotoka haliepukiki.
suala la kufeli au kufanikiwa kwa mchezaji kwenye timu zipo sababu nyingi sana zinazopeleka ikiwemo ishu ya mazingira mapya anayokumbana nayo mchezaji husika, mifumo ya uchezaji inabadilika kutoka timu A kwenda B hivyo basi baadhi ya nyakati mchezaji anahitaji muda ili kuyazoea mazingira, sii hivyo tu klabu inachopaswa kufanya ni kufanya usajili kwa mujiu wa target za mwalimu husika bila ya kusahau na msingi mzima wa uchezaji wa timu ( timu kubwa nyingi zina falsafa zao za kiuchezaji)
di maria amekaa man utd msimu mmoja mbona alipokwenda PSG amefanya vizuri?
vipi kuhusu memphis depay wa olympique lyon?
mashabiki wa manchester united tumeamua kujificha kwenye kivuli cha mchicha huku tukiamini ya kwamba matone ya mvua hayatatupata.
wolves wanatusalimia
sasa Liverpool kapigwa mbili na Napoleon nyie mkikutana nao mliopoteza mbili kwa Westham?Team ipi inashuka daraja? Man united haiwezi shuka Daraja. Karibu napika Pizza za kutoka Napoli. Unahitaji 2 au zaidi ?
Mkuu nipo naugulia maumivu pia nilienda kuchukua kuku wangu ndo naingia sahizi...kumbe hali sio hali hapa nyumbaniModern football mchawi midfield, hauwezi kushinda mechi kama huwezi kufunga magoli na hauwezi kufunga magoli kama midfield yako haitengenezi hayo magoli.
Bado naendelea kushikilia msimamo wangu wa siku dirisha la usajili lilipofungwa kutokufanya usajili wa midfielder kungemtesa sana Ole.
Simuoni ndugu yangu Tanayser maana alisema timu itafanya vizuri sana kwa kipimo cha mechi za preseason.
Modern football mchawi midfield, hauwezi kushinda mechi kama huwezi kufunga magoli na hauwezi kufunga magoli kama midfield yako haitengenezi hayo magoli.
Bado naendelea kushikilia msimamo wangu wa siku dirisha la usajili lilipofungwa kutokufanya usajili wa midfielder kungemtesa sana Ole.
Simuoni ndugu yangu Tanayser maana alisema timu itafanya vizuri sana kwa kipimo cha mechi za preseason.
Kila mchezo unapoanza ukitazama viungo wetu na waliopo bench tayari unakuwa umeshakubali kipigo. Hamna matumaini kabisa. |
Mkuu mpira ni mchezo wa ajabu sana na unamaumivu sana... Nashukuru hata leo sijaenda kuangalia mechi yetu
Mkuu nipo naugulia maumivu pia nilienda kuchukua kuku wangu ndo naingia sahizi...kumbe hali sio hali hapa nyumbani
Kila mchezo unapoanza ukitazama viungo wetu na waliopo bench tayari unakuwa umeshakubali kipigo. Hamna matumaini kabisa.
Nataka za kutoka westham za Napoli zimenikifuTeam ipi inashuka daraja? Man united haiwezi shuka Daraja. Karibu napika Pizza za kutoka Napoli. Unahitaji 2 au zaidi ?
hahahujafungwa na Aston villa,ni West Hammkuu, hata hivyo Aston Villa mbovu????Hata kama. Ila siyo cha kufungwa na Aston Villa bwana.
Klopp ni kocha.

Rashid leo ajafunga mkuu
Mshajazwa mbili kwanza. PoleniRashiford kafunga mangap leo?
Hahaha ngoja nimalizane na noma angu kwanza...
Ili niwacheke vizuri hahahaha...
Apa nacheka kiuoga uoga
Kila la kheri Chelsea![]()
Yawezekana tunawalaumu kina Rashford bila kuangalia pia kiungo chetu cha ushambuliaji kikoje.
Tunatengeneza nafasi za kufunga magoli chache sana kiasi kwamba clear chance zimekuwa za kubahatisha tu
Uko sahihi mkuu, MUFC imeoza zaidi eneo la kiungo hata Pogba akiwepo mipira inapotea zaidi pale kati. Niliwahi kusema sio muda tutaanza kusema Maguire na Bissaka ni wakawaida maana watashindwa kuzuia makosa yanayofanywa na viungo. Bila kuwa na viungo wazuri wanaoweza kutembea na mpira na wanaojiamini tutatukana mabeki wetu na De Gea ataanza kuonekana pazia. | |