Poleni, japo hamkustahili kushinda. Hii timu unatakiwa uwe na roho ngumu kuendelea kuisupport.

tapatalk_1548265005242.jpg
 
Last season mlikula 3 kavu,Leo mmekula 2 kavu kwa kweli ni GOOD IMPROVEMENT Jipigieni makofi kidogo.
 
We unaweza kuuza lukaku sanchez na herrera halafu ukabaki salama? Namba zao anaziba rashford lingard na martial ukijuosha wote wana goli za lukaku
Ole sijui alikuwa anaionaje EPL😂😂

Unamtegemea Rashford, Lingard, Greenwood na Gomes kweli? Sasa acha ajue hajui kitu.😂

Lazima tukubali licha ya ubovu wa wachezaji wetu, Ole sio kucha kabisaaa. Angalia West ham walivyokuwa wanaonana vyema uwanjani. Ukiangalia utajionea kabisa tatizo kubwa lipo wapi. West ham wana kocha sisi hatuna kocha.
 
Tuliwaonya humu kuhusu kumfukuza mourinho wengine tuliundiwa had magenge ya kutusema wenzenu tuliona shida ni bodi sio kocha huwez miaka 7 ukakaa na young akiwa namba 2 au 3 huna 7 wala 11 halafu bodi ipo kimya tu

Kaja sosha mchomoa betr uza lukaku toa sanchez toa herrera

Ukiulizwa vipi anakwambia natafuta mchezaji wa damu ya united

Hivi hawa wakina KDB na bernado silva walikuwa wakiipenda city?

Aguero alikuwa anaipenda man city

Silva alikuwa anapenda man city

Mpira ni pesa mapenz yaliondoka na wakina scholes na giggs
Hata kule mess mkataba wake unaongea pamoja na kukulia palepale

Sosha si kocha huwez kuuza top striker kama hujapata mbadala

Yule klopp alichomoa taratibu sana masalia mabovu kule liverpool hakufika na kufukuza wakina milner na orig hata sturidge alivumiliwa kapata mbele patamu kamuachia
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom