Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimekumbuka hapa pia
Leo nimefuatilia you tube highlits za pre season ya team yetu.nilichokiona ni kwamba.
1 man u ya sasa na ya msimu uliopita ni ile ile.

2 tofauti iliyopo ni kwamba ndani ya kikosi kuna Daniel James na Wana Bissaka.

3 Pogba mtoa maboko ni yule yule tu hivyo tutegemee maboko mengi zaidi msimu.

4 msimu ujao tutapokea vipigo vingi kuwahi kutokea.

5 goli la Phil Jones huenda likasababisha Maguire asisajiliwe.

6 Rashford na Martial walishakamilisha ndoto zao hivyo hawana haja ya kupambana tena.
Wapambanie nini wakati wako kwenye kilele cha mafanikio ?

7 Top six wa msimu uliopita wote watatufunga msimu ujao nje ndani .

Tujiandae kisaikolojia.
 
We unaweza kuuza lukaku sanchez na herrera halafu ukabaki salama? Namba zao anaziba rashford lingard na martial ukijuosha wote wana goli za lukaku
Sio unabii, ila nilivyoona hakuna replacement ya Ander Hererra. Nilishahisi tatizo.
 
Rashford
IMG_20190922_175449.jpeg
 
Man u polen sana

Na nyie hamna kocha kama sisi au wachezaji uwezo mdogo?

Kocha bora hata arsenal mpira unaonekana madhaifu ni madogo kiungo cha arsenal kinatengeneza hata nafasi sasa hapo utasemaje matatizo players wakat kocha kamuachia herrera na lukaku?

Herrera anaweza kukaba na kutengeneza nafasi wakat scott na mwenzie perreira huo uwezo hamna

Yaani tumerudi hatu 10000 nyuma toka kwa mourinho

Ukiangalia hata uwiano wa ushindaji wa mech ulikuwa mzur sana wa mourinho shida ilianzia kwa kuwalinda martial na pogba wauza jez
 
Kama dirisha la usajili litafungwa hatujafanya usajili zaidi ya kina Bissaka tutapigwa sana tu
Hizi imani sio
radika bado vipi umeona tunakoenda ?
Msimu tunaweza kupoteza 1/3 mechi zote za ligi timu haitengenezi nafasi nyingi za kufunga magoli hata chache wanazotengeneza hawazitumii mpaka wapate penalty majanga
 
Back
Top Bottom