bwana
PTER baada ya kumalizika mechi ya man utd dhidi ya chelsea jose mourinho alizungumza maneno yafuatayo.
Chelsea were not compact defensively, too much space to play, not enough aggression on the ball, the defensive line, the midfield, the attack, they were not compact.
I think United will find
it much more difficult to play against teams with low compact blocks, if the block is low blocks, it will be really difficult for them without pure striker"
wolverhampton 1 vs man utd 1
man utd 1 vs crystal palace 2
southampton 1 vs man utd 1
man utd 1(penalty) vs leicester city 0
man utd 1 vs astana 0
westham 2 vs man utd 0.
ukiondoa mechi ya chelsea hakuna mechi nyengine tuliofanikiwa kufunga goli zaidi ya moja.
baadhi ya wakati huwa namlaumu bila ya sababu ya msingi marcus rashford kumbe tatizo si yeye na wala lukaku hakuwa tatizo.
mtoto akiwa anakojoa kitandani anayepaswa kulaumiwa kwanza ni mzee kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake.