Fundi wa kulinganisha na Pogba hapo labda Modrick, huyo Kelvin ni average tuu sema ana jitihada lakini uchezaji wake hauna mvuto. Hakuna mtu atalipa hela kwenda uwanjani kumwona Kelvin specificallyMie mbali na tabia zake nje ya uwanja,hata uwajibikaji wake ndani ya uwanja haunivutii kabisa. Angalia watu kama kdb,modric, wana mambo makubwa sana lakini wanakimbia karibu eneo lote na muda wote ndani ya dakika 90. Pogba ndio anasababisha kiungo chetu kilegee maana hakabi achilia mbali kupoteza mipira kizembe.
Kitu kingine man utd ndio imekuza brand ya pogba,tofauti na alivyokuja. Na sidhani kama akiondoka man utd ataendelea kuwa na dhamani ile ile,maana man utd fan base yetu ni kubwa pamoja na upungufu wetu wa quality players,anaonekana yeye tu.
Wachezaji wa Liverpool sio wa quality kubwa sana lakini team work na commitment inawabeba hadi kiungo chao kinaonekana babkubwa. Saa nyingine,kipaji bila uwajibikaji ni bure kabisa. January aje SMS na BF tushindanie kumiliki kiungo na vigogo wenzetu pale EPL.