Kiujumla Rashford haja prove kuwa ni striker mzuri sana, ila kusema kwamba hawezi kufikisha goli 15 kwenye mechi zaidi ya 40 ni kumtukana
Elewa kwamba msimu huu atakuwa na game time kubwa sana tofauti na wakati ule yeye alikuwa kama back ya Lukaku
Lakini pia, he is just 21,kwahiyo anaweza kubadilika na kuwa goal scorer mzuri tu
Kwa wanaomjua Sterling wa Liverpool au yule wa msimu wa kwanza pale Man City watakubaliana na mimi kuwa alikuwa anapoteza nafasi nyingi sana za kufunga lakini kwa sasa ni moto wa kuotea mbali