Nadhani hawa ni aina ya wachezaji ambao kwa jicho la kishabiki tunaweza tusione umuhimu wake,

Lakini kwa jicho la kiufundi kuna kazi anayopatiwa uwanjani na anaitimiza vyema
Kazi anayofanya inafanana sana na kazi ya Ji Sung Park wa enzi hizo
 
Back
Top Bottom