Usiwe short sighted mkuu.
Man City wanachukua makombe sababu Pogba ni mchezaji wao? Au Liverpool?
Au performance ya Leister city ni sababu Pogba ni mchezaji wao?
Hamna haja ya kuangalia nje ya Uingereza, Unajua Chelsea wamemuuza Hazard kwa sababu alikuwa tayari anaipanda timu kichwani kwa tabia zake za kifalafala kama za Pogba? na bado Hazard hakuwa amefikia kiwango cha ushenzi wa Pogba.
Wakati Barcelona wanamuuza Neimar unajua alikuwa anaonyesha tabia kama anazoonyesha pogba Man U? na unafahamu PSG wako tayari kukauzia mbali sababu ya Tabia hizo hizo za hovyo? Barcelona walikuwa nini baada ya kumuuza Neimar, walishuka daraja?
Unajua wakati Liverpool walimuuza Coutinho sababu na yeye alianza kuonyesha Tabia kama za Pogba? baada ya countino kuondoka what happened to liverpool? walishuka daraja?
Sasa naomba unisikilize mzuri, unasikia?
Man U, Chelsea,Liverpool, Arsenal, Man City, HIZI NI TEAM, ZINAWAKILISHWA NA WACHEZAJI KUMI NA MOJA UWANJANI KILA MMOJA AKIWA NA MCHANGO WAKE.
Pogba ni mchezaji mshenzi anayeharibu morale ya timu nzima, Hata kama akifunga magori 100 kila mechi asipobadirisha fikra na tabia zake za kipumbavu kwangu atabaki kuwa fala na siku wakimuondoa hapo fala huyo I will drink to it.