Kuna mkuu hapo anasema Maguire ni mzito hahahah mkuu Maguire sio mzito Kama ambavyo wachambuzi wanatuaminisha ...... Maguire ni mrefu sana so anavyokimbia simple vile anaonekana mzito ila hatua zake sio poa...same to pogba angaliaga pogba akiwa anakimbia anaonekana kama anajog tu ila kumfikia inakuwa kazi ngumu.....

Issue ya pogba Wakuu sijui tunalalamika nini aiseh...kama Pogba anafanya hayo yote na kisha kuendelea kutoa assist na kufunga magoli kadhaa sidhani kama kuna shida.... Maana hata Rooney aliwahi omba kwenda Chelsea so it's only about mimd games anazofanya ili apewe mshahara tu nothing else
Rooney hajawahi kwenda public kufanya upuuzi anaoufanya Pogba

Ishu ya Rooney kwenda City ndio ilikuwa serious kuliko kwenda Chelsea, na hii alieleza ndani sio kwa uma

Pogba alishata kwenda City, Pogba ameongea zaidi ya mara 3 kwamba anataka kwenda Madrid

Kufananaisha loyalty ya Waza na kilaza Pogba ni kumtukana Wyne

Pogba is just a mescenary, just a mescenary.. He and his agent are f**kng viruses.
 
Mkuu amini nakuambia na wewe ni shahidi, Rashid anakuwa bora pale game inapokuwa upande wenu ..game ikiwakataa basi Rashid uoni kitu anafanya ..labda bdo ni kijana mdogo kadiri anavyokuwa atakuwa bora ..ila akina CR7, Messi walianzia kwa umri huo wa 21,20..
Mesi amewahi kuwa bora game inapokuwa upande wa wapinzani?

Kwa hiyo mechi Liverpool waliyopigwa 4 alikuwa bora sna japo waligongwa

Mzee be serious
 
Rooney hajawahi kwenda public kufanya upuuzi anaoufanya Pogba

Ishu ya Rooney kwenda City ndio ilikuwa serious kuliko kwenda Chelsea, na hii alieleza ndani sio kwa uma

Pogba alishata kwenda City, Pogba ameongea zaidi ya mara 3 kwamba anataka kwenda Madrid

Kufananaisha loyalty ya Waza na kilaza Pogba ni kumtukana Wyne

Pogba is just a mescenary, just a mescenary.. He and his agent are f**kng viruses.
Pogba ni fala tu, wangemtema asepe
 
Mkuu hii timu ya Man united sio timu ya kuwa stable(nadhani utanielewa kwa apa) kwa msimu mzima, mimi naona kwa jins Rashid anavyocheza kufikisha goli 15 pekee itakuwa kazi sana ...siongei kiushabiki mkuu ..Rashid sio faita, labda itoke tu game imemkubali kama ile dhid ya Chelsea..
Mpaka sasa ana goli 2 katika mechi 1 kuna mechi 38 zimebaki hivyo katika mechi 38 anahitaji goli 13 tu. Maana hiyo anahitaji goli 1 walau kwenye kila mechi 3.

Kumbuka msimu huu yeye ndiye atakuwa anapiga penalty zote za man united

We huoni kuwa kama hatapata majeraha anaweza kuzifikia hizo goli ndani ya mechi 18 tu ?
 
ixm7ncklh0h31.jpg
 
Pogba ni fala tu, wangemtema asepe
Mashabik wa man u mnaoongeaga hivi huwa nacheka sana , hivi Ukimtoa pogba man u si inabaki uchi? Una kiungo gan mwenye stamina , mbunifu, anayepiga mashuti au kutengeneza assist kama Pogba? Pogba akizinguaga tu man u midfield inayumba. Unadhan man u ni wajinga kumzuia kwenda Madrid ? Yaan itokee sasa hiv pogba kaenda Madrid , bas man u itasuffer sana kuliko misimu iliyopita . Pogba ndio engine ya midfield hapo man u. Yaan hata avurunde lkn hakunaga wanaompita kitakwimu au kiuchezaji katika midfielder za hapo Matofalini.
 
Usiwe short sighted mkuu.
Man City wanachukua makombe sababu Pogba ni mchezaji wao? Au Liverpool?
Au performance ya Leister city ni sababu Pogba ni mchezaji wao?

Hamna haja ya kuangalia nje ya Uingereza, Unajua Chelsea wamemuuza Hazard kwa sababu alikuwa tayari anaipanda timu kichwani kwa tabia zake za kifalafala kama za Pogba? na bado Hazard hakuwa amefikia kiwango cha ushenzi wa Pogba.

Wakati Barcelona wanamuuza Neimar unajua alikuwa anaonyesha tabia kama anazoonyesha pogba Man U? na unafahamu PSG wako tayari kukauzia mbali sababu ya Tabia hizo hizo za hovyo? Barcelona walikuwa nini baada ya kumuuza Neimar, walishuka daraja?

Unajua wakati Liverpool walimuuza Coutinho sababu na yeye alianza kuonyesha Tabia kama za Pogba? baada ya countino kuondoka what happened to liverpool? walishuka daraja?

Sasa naomba unisikilize mzuri, unasikia?
Man U, Chelsea,Liverpool, Arsenal, Man City, HIZI NI TEAM, ZINAWAKILISHWA NA WACHEZAJI KUMI NA MOJA UWANJANI KILA MMOJA AKIWA NA MCHANGO WAKE.

Pogba ni mchezaji mshenzi anayeharibu morale ya timu nzima, Hata kama akifunga magori 100 kila mechi asipobadirisha fikra na tabia zake za kipumbavu kwangu atabaki kuwa fala na siku wakimuondoa hapo fala huyo I will drink to it.
 
Watu sijui mnamponda vipi pogba..nadhani media nazo zinachangia kumfanya jamaa aonekane kama kijana mtovu wa nidhamu kumbe sio kweli....inasemekana kati ya wachezaji wapambanaji sana na wahamasishaji wa wachezaji wengine pogba mmoja wao...akiondoka yule timu yetu itakua imekwisha
 
Yaani usirudie kuja hapa na kutupa maelezo ambayo kimsingi yanamaanisha kwamba Bila Pogba Man U inaweza hata kufa.
Huo uongozi wa man u kwa taarifa yako katika historia ya club umefanya uamuzi wa kifala sana kutokumuacha Pogba aondoke, wote watatu Pogba, Ole na Ed ni mafala kabisa.
 
Mashabik wa man u mnaoongeaga hivi huwa nacheka sana , hivi Ukimtoa pogba man u si inabaki uchi? Una kiungo gan mwenye stamina , mbunifu, anayepiga mashuti au kutengeneza assist kama Pogba? Pogba akizinguaga tu man u midfield inayumba. Unadhan man u ni wajinga kumzuia kwenda Madrid ? Yaan itokee sasa hiv pogba kaenda Madrid , bas man u itasuffer sana kuliko misimu iliyopita . Pogba ndio engine ya midfield hapo man u. Yaan hata avurunde lkn hakunaga wanaompita kitakwimu au kiuchezaji katika midfielder za hapo Matofalini.
Kabisa... Paul ana quality ya juu kulinganisha na wale madogo na mzee Matic kwa sasa
Ndio maana Ole bado anambana asiondoke japo ni haki yake kucheza anapopenda.
 
Usiwe short sighted mkuu.
Man City wanachukua makombe sababu Pogba ni mchezaji wao? Au Liverpool?
Au performance ya Leister city ni sababu Pogba ni mchezaji wao?

Hamna haja ya kuangalia nje ya Uingereza, Unajua Chelsea wamemuuza Hazard kwa sababu alikuwa tayari anaipanda timu kichwani kwa tabia zake za kifalafala kama za Pogba? na bado Hazard hakuwa amefikia kiwango cha ushenzi wa Pogba.

Wakati Barcelona wanamuuza Neimar unajua alikuwa anaonyesha tabia kama anazoonyesha pogba Man U? na unafahamu PSG wako tayari kukauzia mbali sababu ya Tabia hizo hizo za hovyo? Barcelona walikuwa nini baada ya kumuuza Neimar, walishuka daraja?

Unajua wakati Liverpool walimuuza Coutinho sababu na yeye alianza kuonyesha Tabia kama za Pogba? baada ya countino kuondoka what happened to liverpool? walishuka daraja?

Sasa naomba unisikilize mzuri, unasikia?
Man U, Chelsea,Liverpool, Arsenal, Man City, HIZI NI TEAM, ZINAWAKILISHWA NA WACHEZAJI KUMI NA MOJA UWANJANI KILA MMOJA AKIWA NA MCHANGO WAKE.

Pogba ni mchezaji mshenzi anayeharibu morale ya timu nzima, Hata kama akifunga magori 100 kila mechi asipobadirisha fikra na tabia zake za kipumbavu kwangu atabaki kuwa fala na siku wakimuondoa hapo fala huyo I will drink to it.
Unfortunately kuna like moja kwa comment moja, vinginevyo ningekupa likes za kutosha

Kuzani Pogba ni irreplaceble ni kutoliangalia hili jambo katika big picture, nimewahi kuuliza pia humu je timu zote duniani zinazofanya vizuri zina Pogba kama midfielder wao, sikupata jibu

Labda niseme, tunapoongelea Pogba kuuzwa wanaangaalia mazingira ya sasa ambayo dirisha limefungwa, lakini je tulikuwa hatujui Pogba ni kirusi kabla dirisha halijafungwa? Si tungesajili kabla.

Je hakutakuwa na dirisha lingine la ku flash hichi kirusi, na kuleta mtu/watu wengine?
 
Watu sijui mnamponda vipi pogba..nadhani media nazo zinachangia kumfanya jamaa aonekane kama kijana mtovu wa nidhamu kumbe sio kweli....inasemekana kati ya wachezaji wapambanaji sana na wahamasishaji wa wachezaji wengine pogba mmoja wao...akiondoka yule timu yetu itakua imekwisha
Angalia huyu, inasemekana wapi? wewe hata kwa kuangalia Pogba anavyocheza unaona anahamasisha timu. Yaani kupiga vipasi viwili vitatu vya magori kunakufanya usione exposures ambazo huwa anazitengeneza
Unfortunately kuna like moja kwa comment moja, vinginevyo ningekupa likes za kutosha

Kuzani Pogba ni irreplaceble ni kutoliangalia hili jambo katika big picture, nimewahi kuuliza pia humu je timu zote duniani zinazofanya vizuri zina Pogba kama midfielder wao, sikupata jibu

Labda niseme, tunapoongelea Pogba kuuzwa wanaangaalia mazingira ya sasa ambayo dirisha limefungwa, lakini je tulikuwa hatujui Pogba ni kirusi kabla dirisha halijafungwa? Si tungesajili kabla.

Je hakutakuwa na dirisha lingine la ku flash hichi kirusi, na kuleta mtu/watu wengine?
ukiwasilikiza wale ambao wamepata kucheza mpira, na hasa wachezaji ma ligendary wa man u, wote wanataka huyu mtu aondoke, sio kwamba hana kiwango, kama ni kiwango pale man u hawana wengi tu lakini hakuna anayewapigia kelele.

Kuna Taarifa kwamba hata Romelu Lukaku mwenye amesikika akilalamika kwamba moja ya jambo lililomuuzi ni Ole kukataa kumuuza Pogba.
 
Angalia huyu, inasemekana wapi? wewe hata kwa kuangalia Pogba anavyocheza unaona anahamasisha timu. Yaani kupiga vipasi viwili vitatu vya magori kunakufanya usione exposures ambazo huwa anazitengeneza

ukiwasilikisha wale ambao wamepata kucheza mpira, na hasa wachezaji ma ligendary wa man u, wote wanataka huyu mtu aondoke, sio kwamba hana kiwango, kama ni kiwango pale man u hawana wengi tu lakini hakuna anayewapigia kelele.

Kuna Taarifa kwamba hata Romelu Lukaku mwenye amesikika akilalamika kwamba moja ya jambo lililomuuzi ni Ole kukataa kumuuza Pogba.
Kuna wenzetu humu wana vituko sana,yani ni kama vile wanataka kusema Pogba alikuwepo kabla ya MUFC.

Naweza kusema kiburi cha Pogba kimezidishwa na Ole baada ya kusema anataka kujenga timu kumzunguka yeye,huu ulikuwa ni upuuzi wa hali ya juu kwa mchezaji mwenye masifa ya kijinga na kitoto kama Pogba.

Kumbuka ndani ya MUFC yeye ndio anajiona bora kwa wakati huu na hakuna zaidi yake. Ili Pogba apunguze mbwembwe anatakiwa awe katika timu yenye mtu mkubwa zaidi yake kiumaarufu.

Pamoja na mchango wake kwenye timu, bado ni mchezaji mwenye akili za kitoto za kucheza na jukwaa. Mechi na Chelsea amepoteza mipira mingi akitaka sifa za kushangiliwa,ni vile tu Chelsea walikuwa tia maji tia maji.
 
Pogba ile first half ya gemu ya chelsea ndo nilikubali huyu jamaa ana mambo ya kipuuzi sana..utoto mwingi usiokuwa na maana..Kila akipata mpira hataki kuuachia mapema analeta mbwembwe mwishoni anapokonywa..

Pogba anajua ila hatuwezi kufanikiwa kwa aina hii ya wachezaji..hivi watu huwa wanamuangalia KDB anavyopiga kazi 90 min bila kuleta leta upuuzi??..

Huyu jamaa ni wakuuzwa na replacement yake ifanyike..
 
Kuna wenzetu humu wana vituko sana,yani ni kama vile wanataka kusema Pogba alikuwepo kabla ya MUFC.

Naweza kusema kiburi cha Pogba kimezidishwa na Ole baada ya kusema anataka kujenga timu kumzunguka yeye,huu ulikuwa ni upuuzi wa hali ya juu kwa mchezaji mwenye masifa ya kijinga na kitoto kama Pogba.

Kumbuka ndani ya MUFC yeye ndio anajiona bora kwa wakati huu na hakuna zaidi yake. Ili Pogba apunguze mbwembwe anatakiwa awe katika timu yenye mtu mkubwa zaidi yake kiumaarufu.

Pamoja na mchango wake kwenye timu, bado ni mchezaji mwenye akili za kitoto za kucheza na jukwaa. Mechi na Chelsea amepoteza mipira mingi akitaka sifa za kushangiliwa,ni vile tu Chelsea walikuwa tia maji tia maji.
Ole amemfundisha Pogba mtoto kabla hajaenda Juventus, miaka ya 2009 mpaka 2011. Ndio maana unaona ana hopes za kumbadili.
 
Usiwe short sighted mkuu.
Man City wanachukua makombe sababu Pogba ni mchezaji wao? Au Liverpool?
Au performance ya Leister city ni sababu Pogba ni mchezaji wao?

Hamna haja ya kuangalia nje ya Uingereza, Unajua Chelsea wamemuuza Hazard kwa sababu alikuwa tayari anaipanda timu kichwani kwa tabia zake za kifalafala kama za Pogba? na bado Hazard hakuwa amefikia kiwango cha ushenzi wa Pogba.

Wakati Barcelona wanamuuza Neimar unajua alikuwa anaonyesha tabia kama anazoonyesha pogba Man U? na unafahamu PSG wako tayari kukauzia mbali sababu ya Tabia hizo hizo za hovyo? Barcelona walikuwa nini baada ya kumuuza Neimar, walishuka daraja?

Unajua wakati Liverpool walimuuza Coutinho sababu na yeye alianza kuonyesha Tabia kama za Pogba? baada ya countino kuondoka what happened to liverpool? walishuka daraja?

Sasa naomba unisikilize mzuri, unasikia?
Man U, Chelsea,Liverpool, Arsenal, Man City, HIZI NI TEAM, ZINAWAKILISHWA NA WACHEZAJI KUMI NA MOJA UWANJANI KILA MMOJA AKIWA NA MCHANGO WAKE.

Pogba ni mchezaji mshenzi anayeharibu morale ya timu nzima, Hata kama akifunga magori 100 kila mechi asipobadirisha fikra na tabia zake za kipumbavu kwangu atabaki kuwa fala na siku wakimuondoa hapo fala huyo I will drink to it.
Hakuna timu itamwachia Pogba kirahisi kwa sasa. Usiwe na hasira mkuu. Hakuna kiungo aina ya Pogba duniani kwa sasa na anayevuruga pale Untied si yeye bali ni viwango duni vya wenzake. Tuikiwa na wachezaji timamu pengine ndo utaona jinsi jamaa alivyo genius.

Kutumia miguvu bila akili so kipimo cha kuwa na mpenzi kwa timu. Wapo akina Roho, Jones, Young et al, miguvu mingi bila tija.
 
Mie mbali na tabia zake nje ya uwanja,hata uwajibikaji wake ndani ya uwanja haunivutii kabisa. Angalia watu kama kdb,modric, wana mambo makubwa sana lakini wanakimbia karibu eneo lote na muda wote ndani ya dakika 90. Pogba ndio anasababisha kiungo chetu kilegee maana hakabi achilia mbali kupoteza mipira kizembe.

Kitu kingine man utd ndio imekuza brand ya pogba,tofauti na alivyokuja. Na sidhani kama akiondoka man utd ataendelea kuwa na dhamani ile ile,maana man utd fan base yetu ni kubwa pamoja na upungufu wetu wa quality players,anaonekana yeye tu.

Wachezaji wa Liverpool sio wa quality kubwa sana lakini team work na commitment inawabeba hadi kiungo chao kinaonekana babkubwa. Saa nyingine,kipaji bila uwajibikaji ni bure kabisa. January aje SMS na BF tushindanie kumiliki kiungo na vigogo wenzetu pale EPL.
 
Back
Top Bottom