Mie mbali na tabia zake nje ya uwanja,hata uwajibikaji wake ndani ya uwanja haunivutii kabisa. Angalia watu kama kdb,modric, wana mambo makubwa sana lakini wanakimbia karibu eneo lote na muda wote ndani ya dakika 90. Pogba ndio anasababisha kiungo chetu kilegee maana hakabi achilia mbali kupoteza mipira kizembe.

Kitu kingine man utd ndio imekuza brand ya pogba,tofauti na alivyokuja. Na sidhani kama akiondoka man utd ataendelea kuwa na dhamani ile ile,maana man utd fan base yetu ni kubwa pamoja na upungufu wetu wa quality players,anaonekana yeye tu.

Wachezaji wa Liverpool sio wa quality kubwa sana lakini team work na commitment inawabeba hadi kiungo chao kinaonekana babkubwa. Saa nyingine,kipaji bila uwajibikaji ni bure kabisa. January aje SMS na BF tushindanie kumiliki kiungo na vigogo wenzetu pale EPL.
Fundi wa kulinganisha na Pogba hapo labda Modrick, huyo Kelvin ni average tuu sema ana jitihada lakini uchezaji wake hauna mvuto. Hakuna mtu atalipa hela kwenda uwanjani kumwona Kelvin specifically
 
Fundi wa kulinganisha na Pogba hapo labda Modrick, huyo Kelvin ni average tuu sema ana jitihada lakini uchezaji wake hauna mvuto. Hakuna mtu atalipa hela kwenda uwanjani kumwona Kelvin specifically

Sema mkuu Yodoki II unampenda pogba bila kuangalia athari za ufundi wake usiokuwa na maana unavyoigharimu timu. Nakwambia pamoja na direct football anayocheza kdb,kocha yoyote atamchagua kdb dhidi ya pogba. Pogba anakabika ila kdb ni msumbufu kwa wapinzani.
 
Usiwe short sighted mkuu.
Man City wanachukua makombe sababu Pogba ni mchezaji wao? Au Liverpool?
Au performance ya Leister city ni sababu Pogba ni mchezaji wao?

Hamna haja ya kuangalia nje ya Uingereza, Unajua Chelsea wamemuuza Hazard kwa sababu alikuwa tayari anaipanda timu kichwani kwa tabia zake za kifalafala kama za Pogba? na bado Hazard hakuwa amefikia kiwango cha ushenzi wa Pogba.

Wakati Barcelona wanamuuza Neimar unajua alikuwa anaonyesha tabia kama anazoonyesha pogba Man U? na unafahamu PSG wako tayari kukauzia mbali sababu ya Tabia hizo hizo za hovyo? Barcelona walikuwa nini baada ya kumuuza Neimar, walishuka daraja?

Unajua wakati Liverpool walimuuza Coutinho sababu na yeye alianza kuonyesha Tabia kama za Pogba? baada ya countino kuondoka what happened to liverpool? walishuka daraja?

Sasa naomba unisikilize mzuri, unasikia?
Man U, Chelsea,Liverpool, Arsenal, Man City, HIZI NI TEAM, ZINAWAKILISHWA NA WACHEZAJI KUMI NA MOJA UWANJANI KILA MMOJA AKIWA NA MCHANGO WAKE.

Pogba ni mchezaji mshenzi anayeharibu morale ya timu nzima, Hata kama akifunga magori 100 kila mechi asipobadirisha fikra na tabia zake za kipumbavu kwangu atabaki kuwa fala na siku wakimuondoa hapo fala huyo I will drink to it.
Hizo timu zote zimewauza hao wachezaji wakiwa wameshajipanga kuziba mapengo yao.

Sisi tumeshindwa hata kuziba mapengo ya key players, hakuna winger wa kulia mwaka wa 7 huu.

Usifananishe ambitions za hizo timu na Man Utd ya sasa chini ya Ed.
 
Pogba ile first half ya gemu ya chelsea ndo nilikubali huyu jamaa ana mambo ya kipuuzi sana..utoto mwingi usiokuwa na maana..Kila akipata mpira hataki kuuachia mapema analeta mbwembwe mwishoni anapokonywa..

Pogba anajua ila hatuwezi kufanikiwa kwa aina hii ya wachezaji..hivi watu huwa wanamuangalia KDB anavyopiga kazi 90 min bila kuleta leta upuuzi??..

Huyu jamaa ni wakuuzwa na replacement yake ifanyike..
Walitakiwa waletwe viungo kabla ya kumuuza Pogba.

Hili suala halikufanyika dirisha lilipokuwa wazi.
 
Mie mbali na tabia zake nje ya uwanja,hata uwajibikaji wake ndani ya uwanja haunivutii kabisa. Angalia watu kama kdb,modric, wana mambo makubwa sana lakini wanakimbia karibu eneo lote na muda wote ndani ya dakika 90. Pogba ndio anasababisha kiungo chetu kilegee maana hakabi achilia mbali kupoteza mipira kizembe.

Kitu kingine man utd ndio imekuza brand ya pogba,tofauti na alivyokuja. Na sidhani kama akiondoka man utd ataendelea kuwa na dhamani ile ile,maana man utd fan base yetu ni kubwa pamoja na upungufu wetu wa quality players,anaonekana yeye tu.

Wachezaji wa Liverpool sio wa quality kubwa sana lakini team work na commitment inawabeba hadi kiungo chao kinaonekana babkubwa. Saa nyingine,kipaji bila uwajibikaji ni bure kabisa. January aje SMS na BF tushindanie kumiliki kiungo na vigogo wenzetu pale EPL.
Dirisha lililopita mmeshindwa kuleta hao wachezaji.

Mna mategemeo ya kuwaleta January?

Humfahamu Ed wewe.
 
Watu sijui mnamponda vipi pogba..nadhani media nazo zinachangia kumfanya jamaa aonekane kama kijana mtovu wa nidhamu kumbe sio kweli....inasemekana kati ya wachezaji wapambanaji sana na wahamasishaji wa wachezaji wengine pogba mmoja wao...akiondoka yule timu yetu itakua imekwisha

Pogba alishasema wazi anataka new challenge (anataka kuondoka United)

Mino Raiola amesema Pogba anataka kuondoka na United(OGS,Woodward) wanajua hilo

Juzi kaka yake naye amesema Pogba anataka kuondoka kwenda Madrid

Last season January Raiola alitaka kumpeleka Pogba Man City Pep akakataa

Ni mhamasishaji YES but hataki kuendelea kuchezea Manchester United now amekuwa mpole sababu hana jinsi bado ana mkataba wa miaka 3 na Real Madrid walishindwa kutoa dau la kumnunua wakaleta option ya kubadilisha wachezaji Woodward akakataa
 
OLE is doing great job to clear deadwood but Woodaward must sign players (right winger/foward) during Janaury 2020.
Inter want Sanchez on loan with option to buy after missing Dzeko we cant play full season with Rashford & Martial

Fenerbahce want to sign Rojo on loan ,Axel Tuanzebe is the third choice CB after impressing OGS during pre-season
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom