Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,551
- 30,629
Na Fabio Bolin pamoja na Iago Aspasmkuu lakini wao hiyo hatua kwa kiasi kikubwa wameshaipita lakini kwetu sisi bado tunaendelea nayo.
maisha yote anayeshinda vita ndiye mwenye haki ya kuandika historia haijalishi ni uongo.
nimemkumbuka david ngog, lazar markovic pamoja na alberto aquilani
teh teh