Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ningekuwa na nafasi ya kufanya maamuzi Kwenye usajili naona bado inabid tusajili at least wachezaji wengine watatu au wanne(kama Lukaku anaondoka). CB mmoja,DM mmoja na BF(MTU wa type yake).
Hapo nadhani tutakuwa tumefanya improvement kubwa.
Matic japo Age imeenda ila bado ni mzuri mkuu. Na Mc tominay bado kumkabidhi mikoba yote tutamuonea, option nyengine ni Fred arudishe kiwango cha mechi ya PSG.
 
Maneno ya Ed
Screenshot_20190630-074245.jpeg
Screenshot_20190630-074300.jpeg
Screenshot_20190630-074317.jpeg
 
Aisee..nilikuwa sijakuelewa kk..kimsingi fernandez inabidi aje pale..Nasikia tunamtaka UMTITI..kwa mawazo yangu atakuwa mzuri pale katikati
Umtiti yuko vizuri, ninamuhofia kwamba ni mtu wa majeruhi sana

United wapo serious na muingereza (sijui ile ni timu ya taifa ya uingereza) Maquire kwenye beki ya Kati kuliko Umtiti

Pia Koullibally tunamtaka, changamoto ni kwamba Napoli wamepanga bei ya kutukomoa
 
Hii ndo shida. Bei zimekuwa kubwa sana na hilo amelighusia Woodward
 
Umtiti ?!
A big No
Kwanza ni mfupi sana na huwa hachezi vizuri aerial balls Lindelof naye hawezi kucheza aerial balls hili litakuwa janga sana zile timu nyingi ndogo ndogo huwa zinafunga goal nyingi za dead balls ambazo asilimia kibwa ni aerial sasa huoni tutakuwa easy prey ?

Hana speed na plumpy, injury prone sasa si tutakuwa tumeongeza janga tu, Phil Jones, Bailly na Rojo ukiongeza na huyo Umtiti si nikujiongezea majanga?
Aisee..nilikuwa sijakuelewa kk..kimsingi fernandez inabidi aje pale..Nasikia tunamtaka UMTITI..kwa mawazo yangu atakuwa mzuri pale katikati
 
David Moyes' six-year contract at Manchester United would have ended today...

The worst Premier League appointment ever?! View attachment 1143063
The worst premier league appoint? No

Vipi kuhusu Ronald Koeman pale Toffees?

Wakati tunaadhimisha mwaka wa 6 tangu ateuliwe the chosen one

Tukumbuke kesho ndio United wanaanza mazoezi pale Aon Training complex na tarehe 7 tuna mechi ya kirafiki ya kwanza dhidi ya Perth
 
Koeman alikua anatafuta nini cha maana toffees zaidi ya kukomaa tu timu isishuke daraja

Toffees ya Moyes yenyewe ilikuwa inatafuta nafasi za Europa, sembuse ya Koeman ambaye alienda kipindi Mwarabu amenunua timu na kuwekeza

Hata tunapima kocha kulingana na timu aliyopo na si kwa ujumla wake, ndio Moyes alionekana hamna kitu japo alishika nafasi ya saba na wale walioshika nafasi ya 16 hawkuonekana wabovu kiivyo

Sijasema chaguo la Moyes United lilikuwa sahihi, lakini tunakuza sana mambo mengine...... Eti the worst PL manager appointever
 
Bila kusahau Everton msimu uliopita wamespend kushinda Man U. Wao wanatafuta Top 4 na sio kushuka daraja, Timu inayospend zaidi ya 100m sio ya kushuka daraja.
 
Back
Top Bottom